The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
hebu ngoja, ntakutafuta chobis nikwambie..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni story ndefu sana madam wangu!
Nakusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu ngoja, ntakutafuta chobis nikwambie..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni story ndefu sana madam wangu!
Hahahahahahah...this is funny!
Umeona eeeeh. Karibu sana mkuu unajua nimetoka nduki nilikua kwenye kikao na mwenyekiti wetu alikua na maelezo mengii. Hata hivyo nashukuru nimewahi hii hafla ya kukukaribisha mkuu wetu mpya.Karibu sana JF...
Waonekana kama ni mwenyeji sana wa jukwaa hili
Mkuu sioni sehemu ya ku-like sijui leo vipi!
Umeona eeeeh. Karibu sana mkuu unajua nimetoka nduki nilikua kwenye kikao na mwenyekiti wetu alikua na maelezo mengii. Hata hivyo nashukuru nimewahi hii hafla ya kukukaribisha mkuu wetu mpya.
Nashangaa hakuna kisehehemu cha like sijui ni mimi tu huenda nina tatizo la macho. Hata hivyo wachina wamezidi kututapeli, nakumbuka ukienda kwao kununua bidhaa wanakwambia bei ya original ni tofauti na ya feki sasa lbd wafanya biashara waendao huko huangalia maslahi zaidi ,na uwezo wa soko la ndani .
Nashangaa hakuna kisehehemu cha like sijui ni mimi tu huenda nina tatizo la macho. Hata hivyo wachina wamezidi kututapeli, nakumbuka ukienda kwao kununua bidhaa wanakwambia bei ya original ni tofauti na ya feki sasa lbd wafanya biashara waendao huko huangalia maslahi zaidi ,na uwezo wa soko la ndani .
You must! Kisiki cha mpingu
ofcourse yes!! i must be kisiki cha mpingo!!
hivi kwanza ushapata dinner?
usije kulala njaa wangu!!
Dinner 1 tulishapata tunaenda pata dinner 2
wakuu leo like zimekua lake, hazimo, ila labda nazo zimegoma kwa muda
I thought ni mimi mwenyewe sioni.
Kama tutazuia uingizaji wa bidhaa feki basi huyu mnunuzi wa mwisho hatakua na choice bali atalazimika kununua bidhaa bora. Sasa wanaohusika na kucontrol bidhaa ziingiazo nchini hawa ndio wa kulaumu. Unajua bidhaa feki zina madhara mengi sana kwa mtumiaji . Wakati mwingine mnunuzi hushindwa kutofautisha kati ya feki na original so wahusika wanapaswa kuwajibika ktk hili. Hebu ona imefikia tuna mpaka matairi ya gari feki.tatizo si wachina mkuu...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tatizo ni sisi! mtu yuko tayari kununua simu at cheap 4 times within four months at a price of 60 thousand, lakin ukimwambia nunua simu original lets say nokia x2-01 ya ths 150 elfu anaona ni very expensive!!
kumbe na elimu nayo inahusika sana!!
Bingwa emperor, Popote ulipo ubuheri? U r Great thinker maana umetoa kinamna !!bila shaka hilo ni buffet la ukweli!!!!!!!!
nipe kadi bac nitoke hapa kijijini fasta!!
Kama tutazuia uingizaji wa bidhaa feki basi huyu mnunuzi wa mwisho hatakua na choice bali atalazimika kununua bidhaa bora. Sasa wanaohusika na kucontrol bidhaa ziingiazo nchini hawa ndio wa kulaumu. Unajua bidhaa feki zina madhara mengi sana kwa mtumiaji . Wakati mwingine mnunuzi hushindwa kutofautisha kati ya feki na original so wahusika wanapaswa kuwajibika ktk hili. Hebu ona imefikia tuna mpaka matairi ya gari feki.