Wonders.....! Most overloaded vehicles in china! Kumbe sisi wanatuchezea kwa vifaa feki!

Karibu sana JF...

Waonekana kama ni mwenyeji sana wa jukwaa hili
Umeona eeeeh. Karibu sana mkuu unajua nimetoka nduki nilikua kwenye kikao na mwenyekiti wetu alikua na maelezo mengii. Hata hivyo nashukuru nimewahi hii hafla ya kukukaribisha mkuu wetu mpya.
 
mkuu Ablessed nashukuru bwana!!!!!!!!!!!!!

sasa mi lengo lilikuwa ku-enjoy ma-like kibao! hebu ngoja nim-call Invisible atueleze kwa kina!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Ablessed nashukuru bwana!!!!!!!!!!!!!

sasa mi lengo lilikuwa ku-enjoy ma-like kibao! hebu ngoja nim-call Invisible atueleze kwa kina!
Nashangaa hakuna kisehehemu cha like sijui ni mimi tu huenda nina tatizo la macho. Hata hivyo wachina wamezidi kututapeli, nakumbuka ukienda kwao kununua bidhaa wanakwambia bei ya original ni tofauti na ya feki sasa lbd wafanya biashara waendao huko huangalia maslahi zaidi ,na uwezo wa soko la ndani .
 
tatizo si wachina mkuu...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

tatizo ni sisi! mtu yuko tayari kununua simu at cheap 4 times within four months at a price of 60 thousand, lakin ukimwambia nunua simu original lets say nokia x2-01 ya ths 150 elfu anaona ni very expensive!!

kumbe na elimu nayo inahusika sana!!
 
Kama tutazuia uingizaji wa bidhaa feki basi huyu mnunuzi wa mwisho hatakua na choice bali atalazimika kununua bidhaa bora. Sasa wanaohusika na kucontrol bidhaa ziingiazo nchini hawa ndio wa kulaumu. Unajua bidhaa feki zina madhara mengi sana kwa mtumiaji . Wakati mwingine mnunuzi hushindwa kutofautisha kati ya feki na original so wahusika wanapaswa kuwajibika ktk hili. Hebu ona imefikia tuna mpaka matairi ya gari feki.
 
bila shaka hilo ni buffet la ukweli!!!!!!!!

nipe kadi bac nitoke hapa kijijini fasta!!
Bingwa emperor, Popote ulipo ubuheri? U r Great thinker maana umetoa kinamna !!
Mkuu naona wapenda overload? hizo ndiyo zako... ama siye tukiloadi tuu Trafik feki huyoo!! tunashindwa.....! Mie nimependezwa na usafi na mazingira yalivo Nasiye hapo ndo pakujfundishia !! Good luck upate Healthy weekend.
 
Kama tutazuia uingizaji wa bidhaa feki basi huyu mnunuzi wa mwisho hatakua na choice bali atalazimika kununua bidhaa bora. Sasa wanaohusika na kucontrol bidhaa ziingiazo nchini hawa ndio wa kulaumu. Unajua bidhaa feki zina madhara mengi sana kwa mtumiaji . Wakati mwingine mnunuzi hushindwa kutofautisha kati ya feki na original so wahusika wanapaswa kuwajibika ktk hili. Hebu ona imefikia tuna mpaka matairi ya gari feki.

its a point mkuu!
but remember this is a free market..

and, viongozi wenyewe ndio hawa akina 'baba rizi'!

si majanga kabisa haya!!!
 
Back
Top Bottom