The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
bila shaka hilo ni buffet la ukweli!!!!!!!!
nipe kadi bac nitoke hapa kijijini fasta!!
Kadi anazo Bishanga halafu nimeshaanza kukujua
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila shaka hilo ni buffet la ukweli!!!!!!!!
nipe kadi bac nitoke hapa kijijini fasta!!
Bingwa emperor, Popote ulipo ubuheri? U r Great thinker maana umetoa kinamna !!
Mkuu naona wapenda overload? hizo ndiyo zako... ama siye tukiloadi tuu Trafik feki huyoo!! tunashindwa.....! Mie nimependezwa na usafi na mazingira yalivo Nasiye hapo ndo pakujfundishia !! Good luck upate Healthy weekend.
Mpendwa Nakuamini, Yes we can...Lakini ya nini kungoja atoke Mwl. Time yako imepita... Ngoma tuicheze sisi wenyewe... Tatizo kuwa waTz hatuna uzalendo na Utaifa siye tuptupo!1 Lakini tutajirekebisha wenyewe tutakapopata BIG blow (fundisho kubwa) Sisi shamba la bibi lipo ndo tunalemaa!! Still me and you we can start "step by step"Blessingsahsante sana mkuu life is Short, kwa tz hii ilivyo..!!!!!!!!!!!!!! mmmhhh!! mambo motomoto kweli!! viongozi ndio wanatula vichwa!!!
labda watokee tena akina nyerere sita ndio watuletee mabadiliko!! something that cnt be possible!!
Nahisi uko sahihi mkuu unanikumbusha kitabu flani nilikisoma form3 miaka hiyoooo " a beautiful one is not yet born"its a point mkuu!
but remember this is a free market..
and, viongozi wenyewe ndio hawa akina 'baba rizi'!
si majanga kabisa haya!!!
Mapochopocho teena...lol
Haya nenda CC kaandamane kitufe cha like kirudiyawezekana!!!!!!! manake mi nilipaki HUMMER H3 nje!!!!!!!! nahisi ndio bado inapoteza network!!!!
Shindwa shetani!chops utakula na vya freemason hii ofa ngoja aanze kuagiza watu8 then nifate mimi, nyinyi wanawake muwe wa mwisho
Shindwa shetani!