Wonders.....! Most overloaded vehicles in china! Kumbe sisi wanatuchezea kwa vifaa feki!

Wonders.....! Most overloaded vehicles in china! Kumbe sisi wanatuchezea kwa vifaa feki!

Bingwa emperor, Popote ulipo ubuheri? U r Great thinker maana umetoa kinamna !!
Mkuu naona wapenda overload? hizo ndiyo zako... ama siye tukiloadi tuu Trafik feki huyoo!! tunashindwa.....! Mie nimependezwa na usafi na mazingira yalivo Nasiye hapo ndo pakujfundishia !! Good luck upate Healthy weekend.

ahsante sana mkuu life is Short, kwa tz hii ilivyo..!!!!!!!!!!!!!! mmmhhh!! mambo motomoto kweli!! viongozi ndio wanatula vichwa!!!

labda watokee tena akina nyerere sita ndio watuletee mabadiliko!! something that cnt be possible!!
 
Last edited by a moderator:

Mpendwa Nakuamini, Yes we can...Lakini ya nini kungoja atoke Mwl. Time yako imepita... Ngoma tuicheze sisi wenyewe... Tatizo kuwa waTz hatuna uzalendo na Utaifa siye tuptupo!1 Lakini tutajirekebisha wenyewe tutakapopata BIG blow (fundisho kubwa) Sisi shamba la bibi lipo ndo tunalemaa!! Still me and you we can start "step by step"Blessings
 
its a point mkuu!
but remember this is a free market..

and, viongozi wenyewe ndio hawa akina 'baba rizi'!

si majanga kabisa haya!!!
Nahisi uko sahihi mkuu unanikumbusha kitabu flani nilikisoma form3 miaka hiyoooo " a beautiful one is not yet born"
 
Karibu kwenye jukwaa la siasa kujipima stress na pia jukwaa la mapenzi kujiondoa stress!
 
mbona kitufe cha like hakuna?? na mbona hakuna aliyelike huu uzi??

ila emperor unataka kuvunja ndoa za watu humu?? hiyo combination yako itafanya wengine tuachike humu
 
Last edited by a moderator:
mbona kitufe cha like hakuna?? na mbona hakuna aliyelike huu uzi??

ila emperor unataka kuvunja ndoa za watu humu?? hiyo combination yako itafanya wengine tuachike humu

kweli mkuu???

sasa mie nilie single humu ndo kusema, 'IT'S TOO LATE'?

manake mi niko kwenye kuangalia-angalia!
 
kweli mkuu???

sasa mie nilie single humu ndo kusema, 'IT'S TOO LATE'?

manake mi niko kwenye kuangalia-angalia!

kwanza wewe umekuja na kuondoa kitufe cha like ama umemuonga Paw na Invisible wakakificha??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom