Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
- Thread starter
-
- #41
1986😱 wazazi wetu wakiwa teenagers.ShikamooHuyu ni mtoto mdogo hayajui haya.
Nakumbuka mwaka 1986 alivyokufa Rais Samora Machel wa Msumbiji, nchi ilizizima utafikiri rais wa nchi yetu. Muimbaji John Komba alitoa vibao vyaa muziki ambavyo hakuna mTanzania aliyesikiliza kipindi hicho hakutoa machozi. Wale watu wa kusini ni ndugu zetu wa damu. Na msaada huu si wa mara ya kwanza kuutoa. Pia wale wako kwenye majanga ya mafuriko, wanahitaji msaada wa haraka.
Marahaba mtoto mzuri, hujambo?1986😱 wazazi wetu wakiwa teenagers.Shikamoo
LOL.sijambo Toto dogo
Ndugu umeandika kwa hisia sana usijal tupo pamoja. Wapelekeeni waturkana chakula nao wawasaidie kusugua wake zenu waache kuingiza vitu vya ajabu mle ndani. UNDUGU NI KUSAIDIANA.
1986😱 wazazi wetu wakiwa teenagers.Shikamoo
Kenya sio pro active.... Mfano hata al shabaab walivyo anza kuingia kenya wakat wanashambulia vituo vya polisi na kuua polisi na raia wanasiasa waliwapotosha wakaambia eti ni maswala ya ukabila thereafter matukio yakaongezeka ndio waka amka toka ktk usingizi wa pono ........ Ss naona hili sakata la njaa kule turkana pia wana siasa wanawadanganya watu eti hamna raia aliyekufa kwa njaaa let them pose while lives of their felow kenyan disapper ,
Tanzania is not your enemy we are your brothers so we are just teaching you some lessons.
If Kikuyu is an enemy of Jaluo, how can you be a friend of any one else on the global?I would rather have animals in the wild as friends than a Danganyikan
Kuna yule punguani sijui anaitwa NANI vile, anasema Turkana SIYO Kenya. Ila Nairobi ndiyo Kenya.
Ahaaa haaa haaa
If Kikuyu is an enemy of Jaluo, how can you be a friend of any one else on the global?
Sent using Jamii Forums mobile app
I would rather have animals in the wild as friends than a Danganyikan
If you train terrorists to kill other tribes then you use Alshabab as a shield, are you really human?Otcourse that is not quantified....as for a Danganyikan who hunts for a fellow human for God knows what...I think there is no difference with the devil.........Kwendeni huko....You will not convince me for a penny
If you train terrorists to kill other tribes then you use Alshabab as a shield, are you really human?
Sent using Jamii Forums mobile app
You closed the border. .acha kudanganya.unajizungumzia tu ! hujui kama kulipo chafuka Kenya ule mwaka wa kenya wengi walikimbilia Arusha, Tanga ,na mikoa mengine au unajisemea kwa kuwa ww ulikuwa bado kuzaliwa ?
You are ashamed of that nefarious act of killing albinos that's why you console yourself with lies.If you train terrorists to kill other tribes then you use Alshabab as a shield, are you really human?
Sent using Jamii Forums mobile app
You closed the border. .acha kudanganya.
You are ashamed of that nefarious act of killing albinos that's why you console yourself with lies.
Si ni wakati wa postelection violence 2007????mpaka ulifungwa. Hamna mkenya aliruhusiwa kuingia hukoMm nilikuwa tanga na niliona wa kenya wengi wakiingia tanga kupitia border ya horohoro ss sijui ww jane ulitumia border gan
Si ni wakati wa postelection violence 2007????mpaka ulifungwa. Hamna mkenya aliruhusiwa kuingia huko