Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
- Thread starter
- #41
1986😱 wazazi wetu wakiwa teenagers.ShikamooHuyu ni mtoto mdogo hayajui haya.
Nakumbuka mwaka 1986 alivyokufa Rais Samora Machel wa Msumbiji, nchi ilizizima utafikiri rais wa nchi yetu. Muimbaji John Komba alitoa vibao vyaa muziki ambavyo hakuna mTanzania aliyesikiliza kipindi hicho hakutoa machozi. Wale watu wa kusini ni ndugu zetu wa damu. Na msaada huu si wa mara ya kwanza kuutoa. Pia wale wako kwenye majanga ya mafuriko, wanahitaji msaada wa haraka.