Wonders shall never cease

Wonders shall never cease

Huyu ni mtoto mdogo hayajui haya.
Nakumbuka mwaka 1986 alivyokufa Rais Samora Machel wa Msumbiji, nchi ilizizima utafikiri rais wa nchi yetu. Muimbaji John Komba alitoa vibao vyaa muziki ambavyo hakuna mTanzania aliyesikiliza kipindi hicho hakutoa machozi. Wale watu wa kusini ni ndugu zetu wa damu. Na msaada huu si wa mara ya kwanza kuutoa. Pia wale wako kwenye majanga ya mafuriko, wanahitaji msaada wa haraka.
1986😱 wazazi wetu wakiwa teenagers.Shikamoo
 
Kenya sio pro active.... Mfano hata al shabaab walivyo anza kuingia kenya wakat wanashambulia vituo vya polisi na kuua polisi na raia wanasiasa waliwapotosha wakaambia eti ni maswala ya ukabila thereafter matukio yakaongezeka ndio waka amka toka ktk usingizi wa pono ........ Ss naona hili sakata la njaa kule turkana pia wana siasa wanawadanganya watu eti hamna raia aliyekufa kwa njaaa let them pose while lives of their felow kenyan disapper ,
 
Alafu sionmara ya kwanza T Z kutoa msaada zimbabwe ata miaka ya nyuma ktknuongozi wa kikwete alitoa tan 8000 z mahindi ..... Issue sio kiki unajua wale wamehadhiriwa na JANGA la kimbuka na kama tujuavyo matokeo ya kimbuka kikubwa kama kile ni makubwa kuanzia miundombinu ,mpaka maisha ya watu mmoja mmoja hivyo ilikuwa ni lazm kupewa msaada UNLESS kama uwe mbumbuu ulichukulie negativity hili jambo
 
Kenya sio pro active.... Mfano hata al shabaab walivyo anza kuingia kenya wakat wanashambulia vituo vya polisi na kuua polisi na raia wanasiasa waliwapotosha wakaambia eti ni maswala ya ukabila thereafter matukio yakaongezeka ndio waka amka toka ktk usingizi wa pono ........ Ss naona hili sakata la njaa kule turkana pia wana siasa wanawadanganya watu eti hamna raia aliyekufa kwa njaaa let them pose while lives of their felow kenyan disapper ,

Kuna yule punguani sijui anaitwa NANI vile, anasema Turkana SIYO Kenya. Ila Nairobi ndiyo Kenya.
Ahaaa haaa haaa
 
huyo sio mkenya huyo ni mshenzi wa tandale .... humu wa kenya real wapo wachahce sanaa wengi wao ni wabongo wanazingua tu bange zao
 
If Kikuyu is an enemy of Jaluo, how can you be a friend of any one else on the global?

Sent using Jamii Forums mobile app

Otcourse that is not quantified....as for a Danganyikan who hunts for a fellow human for God knows what...I think there is no difference with the devil.........Kwendeni huko....You will not convince me for a penny
 
I would rather have animals in the wild as friends than a Danganyikan

unajizungumzia tu ! hujui kama kulipo chafuka Kenya ule mwaka wa kenya wengi walikimbilia Arusha, Tanga ,na mikoa mengine au unajisemea kwa kuwa ww ulikuwa bado kuzaliwa ?
 
Otcourse that is not quantified....as for a Danganyikan who hunts for a fellow human for God knows what...I think there is no difference with the devil.........Kwendeni huko....You will not convince me for a penny
If you train terrorists to kill other tribes then you use Alshabab as a shield, are you really human?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajizungumzia tu ! hujui kama kulipo chafuka Kenya ule mwaka wa kenya wengi walikimbilia Arusha, Tanga ,na mikoa mengine au unajisemea kwa kuwa ww ulikuwa bado kuzaliwa ?
You closed the border. .acha kudanganya.
If you train terrorists to kill other tribes then you use Alshabab as a shield, are you really human?

Sent using Jamii Forums mobile app
You are ashamed of that nefarious act of killing albinos that's why you console yourself with lies.
 
You closed the border. .acha kudanganya.

You are ashamed of that nefarious act of killing albinos that's why you console yourself with lies.

Mm nilikuwa tanga na niliona wa kenya wengi wakiingia tanga kupitia border ya horohoro ss sijui ww jane ulitumia border gan
 
Si ni wakati wa postelection violence 2007????mpaka ulifungwa. Hamna mkenya aliruhusiwa kuingia huko
 
Sio kweli kbs mi nilikuwa mji wa Tangakaribu na Mombasa mji ulijaa gari za Kenya unless ulete ushahidi wa kimaandishi ..meneno yako siya amininsababu mi nikiona wakenya pale tng
 
Back
Top Bottom