Work place bullying and sabotage: HELP!

you must be angry and biter to your co workers if someone is harmful to you report him/her to your boss to transfer him
 
Braza kumbe ngeli imesimama hivi..

She's fighting with herself.. Nadhani hata kitanda chake anakuwaga mwenyewe ndio maana anapata tabu sana.
 
Good is good yes okay noooo Supervisor.


Dah hapa jamani kichwa changu English ni zero++
 
Tatizo limeanzia hapa! Inaonesha huo u-supervisor umejipachika mwenyewe kwa vile tu unalipwa mshahara mkubwa kuliko wao. Lakini wao wana experience kubwa kuliko wewe (hasa hao wazee). Sasa ukilinganisha na experience yao wanakuona si chochote. Cha kufanya ishinikize management (kwa kujadiliana na mkurugenzi) iweke kwenye mwandishi kwamba wewe ndiye supervisor wa hiyo timu. Na ukishapewa maandishi weka msimamo, usirogwe hata siku moja kulalamika kwao kwamba labda wanakufanyia hivyo kwa vile wewe ni mwanamke au binti! Simamia misingi ya utumishi na hakikisha kila mtu anatimiza wajibu wake, huyo anayewahi kuondoka kabla ya muda mwambie ukweli kwa onyo la mdomo, akirudia mtwange barua ya onyo na copy kwa management! Mbona watarudi wenyewe, endelea kucheka na nyani utavuna mabua!
 
Male ego I think.
Hii nayo ni shida ya kwako mwenyewe! Siyo tu kwamba una inferiority complex? Kwa vile wewe ni "ke" sasa unaona kila wanachokifanya ni kwa sababu ya jinsia yako! Ondoa huo unyonge kichwani kwako!
 
Kama wanakutegemea katika kazi kiutendaji hata kama sio kiongozi hapo teyari unategemewa kimajukumu.
Hivyo tengeneza plan na kila mmoja ashurikishwe ikiwemo management kwamba “ili watu hawa wafanye kazi na mimi inatakiwa hivi na hivi” kwa maana unakuwa independent thinker

Plan hiyo iweke malengo kutokana na kazi zenu goals mnazotakiwa kuaccomplish na kwa namna gani kila mmoja atashiriki
Kuwe na grading kutokana na ushiriki wa kila mmoja hivyo unaenforce kila mmoja ajicommit kucontribute katika hiyo plan

Mwisho wa siku kila anayezingua na anayejituma wataonekana na hutokuwa na haja ya kufatiliana na mtu

Weka mipaka katika majukumu yako binafsi na ikitokea mtu anakuvamia katika mipaka hiyo huyo usicheke nae hata kidogo for you are not there to entertain anyone
 
You should go to a witch doctor and follow the conditions
 
Oohooo hey hey
It's very dangerous intertaining pigs running within you cassava field

Umri kwao namkitoka nje ya ofisini labda mkiingia ndani ya mipaka ya ofisi hawanabudi kufata maelezo kiofisi napale huwatumi wewe
Wew si unanona wenzio wanachat kiingereza..? Punguza uswahili sasa hii mada ni ya watumishi wa NGOs.
 
Hujawahi pata shida za ofisini wewe!

Kwanza kufanya kazi na watu wazee,jinsia zote then uwazidi Elimu au uwe boss wao ni kazi mno! Utasikia tu wanasema umekuja juzi tu hapa,unaleta Elimu yako hapo,tutanona kama hata mwaka utamaliza! Kwanza huwa hawajiamini kwenye kazi zao,wao ni urogi,matusi,kufoka na kukutegeshea kitu kibaya unase,wacheke

Unaingia ofisini kwenye kiti chako unakuta kuna unga kama wa sembe,siku nyingine unaingia ofisini saa mbili unalala kama ndiyo umeingia ndani chumbani kwako saa nne usiku! Kila unachotaka kufanya mwili unasema acha tu,utafanya kesho! Unapewa taarifa kabisa kesho kuna safari,lakini huna muda hata wakujiandaa! Upo upo tu,unadhani ukirudi nyumbani kwa nini usikose usingizi?? Makazini kuna mambo ya ajabu sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
They work under you how?
U said it was not cleary communicated

I think that is the root cause
Why u acting like the boss while ur not appointed??

If i were you
Ningeuchuna vibaya mno kwa management
Nikiulizwa wl answer back kwani mi ni boss wao??
Waambieni kwanza mi ni nani na mniteue kwa barua ndio i will do shit around here
Afu nakua mkavuuu mbayaa hadi wajicommit na branch nzima waambiwe mi ndo boss then wl act bossy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…