World Bank: 50% of Tanzanians live in extreme poverty

World Bank: 50% of Tanzanians live in extreme poverty

Kwa hivyo akina Geza Ulole wako ligi moja na wale cattle rustlers wetu kutoka pokot.

Kidogo kidogo mtaanza kuchemsha mawe atleast mpate mlo
TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kenyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
 
TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
Nyie na hao majangili kutoka turkana mko same same😥

Si atleast mueke link tuwachangie hela kidogo. Chakula mnayo lakini zitaozea sokoni kwa sababu hamuafford kuzinunua

Zitaletwa hapa marikiti kenya tuzinunue kwa wingi
 
TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
I told you guys.. here are the low iq arguements.."ooh sisi tuna chakula kingi kuliko kenya , sijui sisi ni "sleepingi gianti * , ooh hiyo ni data fake ya mabeberu, ooh sisi hatupimi umaskini kama mabeberu ".. low iq ujamaa thinking.
 
Ndo maana Magufuli anawambia Waafrika wote waamke wawe na taasisi imara zinazoweza kufanya maamuzi sahihi kuliko kuwategemea Hawa waliotunyonya miaka nenda rudi hawaishi vineno Mara uhuru wa Habari, Mara umasikini nk. si walitutawala kwa muda mrefu mbona hawakutufanyia kila kitu saizi Nchi yetu ingekuwa kama uingereza km kweli walikuwa Wana nia njema na Sisi.
 
Niko sure if World Bank ranks top 10 countries with most poor people in the world they will not miss in that list
I agree with you. 28 million is a big number, lazima watakuwa top 10.
 
Magufuli is good for kenya.. gdp gap imekuwa kutoka 5bilusd hadi 40 , sasa kwa umaskini Tanzania ndo superpower . Please elect him again .
Wakimchagua tena nitacheka kwa dharau. Sababu ninauhakika tutaongeza gap ingine ya 50b ya GDP juu yao
 
Nadhani muhula wa pili Pombe atahamisha mji mkuu hadi Chato. Chato ndio itakuwa makao makuu ya serikali.
 
Wengi wa Waafrika tuna ujinga wa ajabu sana

Hawa WB na IMF
Ni majizi makubwa na wanyonyaji wa Bara letu la Afrika

Wanatuibia
Wanatupangia
Wanatuletea takwimu watakavyo wao

Sisi tunabaki kuchekana na kubezana
Hakika alie turoga amekufa

Upuuzi mtupu
 
Wengi wa Waafrika tuna ujinga wa ajabu sana

Hawa WB na IMF
Ni majizi makubwa na wanyonyaji wa Bara letu la Afrika

wanatuibia
wanatupangia
wanatuletea takwimu watakavyo wao

Sisi tunabaki kuchekana na kubezana
Hakika alie turoga amekufa
[emoji23][emoji23]Wamekua wajinga kuwaita maskini lakini wakiwaita Middle Income wako sawa hadi Jiwe anajigamba. Hii ndo tunaita hypocrisy.
 
Watuache sisi wenyewe tunajijua siyo maskini siku hizi tumeshakuwa WANYONGE . Kama hamjasikia hata rais wetu anayemaliza muda wake mwaka huu 2020 ametuita WANYONGE kwa miaka yote mitano bila kupumzika . 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hahaha watch videos za campaign ndio utagundua zaidi especially za CCM.
 
Ndo maana Magufuli anawambia Waafrika wote waamke wawe na taasisi imara zinazoweza kufanya maamuzi sahihi kuliko kuwategemea Hawa waliotunyonya miaka nenda rudi hawaishi vineno Mara uhuru wa Habari,Mara umasikini nk. si walitutawala kwa muda mrefu mbona hawakutufanyia kila kitu saizi Nchi yetu ingekuwa kama uingereza km kweli walikuwa Wana nia njema na Sisi.
I told you guys .. " sisi hatufwati hesabu za mabeberu za umaskini " excuse.
 
Naona ume zi sideline kipenzi chenu Rwanda na Burundi au hazipo east africa
Sibishani na World Bank.

Population ya Tanganyika ya maskini 28m ni nyingi kuliko total population ya Burundi+Rwanda combined 23m.
Screenshot_20201020-100930.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums679651582.jpg
    JamiiForums679651582.jpg
    60.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom