Kwa hiyo Kenya na Zimbabwe hazipokei misaada? Mbona sisi kwa mara ya kwanza tunaendesha kampeni zetu za uchaguzi kwa pesa yetu? Na tunafanya vizuri?
Hayo ni malengo yao ya kutu intimidate sisi kama kwenye hii clip inavyoonyesha:
Kusema ule ukweli, wameshindwa. Hawatatupata sisi. Asante lugha yetu ya kiswahili. Hawana ujuzi wa kutuingia sisi na kutuvuruga. Kiswahili hawaju. Sisi tuko imara. Watahangaika na haohao wakina Uhuru Kenyata wanao dhani kuwa wao ni wazungu, lakini kwenye kupiga kampeni za kura wanazungumza kiswahili ili watu wao wawaelewe. It is a ridicule thing!