TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kenyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!Kwa hivyo akina Geza Ulole wako ligi moja na wale cattle rustlers wetu kutoka pokot.
Kidogo kidogo mtaanza kuchemsha mawe atleast mpate mlo
Nyie na hao majangili kutoka turkana mko same sameπ₯TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
I told you guys.. here are the low iq arguements.."ooh sisi tuna chakula kingi kuliko kenya , sijui sisi ni "sleepingi gianti * , ooh hiyo ni data fake ya mabeberu, ooh sisi hatupimi umaskini kama mabeberu ".. low iq ujamaa thinking.TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
The Economist: Tanzanian Economy is bogus(fake).TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
I agree with you. 28 million is a big number, lazima watakuwa top 10.Niko sure if World Bank ranks top 10 countries with most poor people in the world they will not miss in that list
Wakimchagua tena nitacheka kwa dharau. Sababu ninauhakika tutaongeza gap ingine ya 50b ya GDP juu yaoMagufuli is good for kenya.. gdp gap imekuwa kutoka 5bilusd hadi 40 , sasa kwa umaskini Tanzania ndo superpower . Please elect him again .
Huku tunajenga kiwanja cha michezo, mbuga ya wanyama na Uwanja wa ndege π πKipaumbele chetu ni Chato
[emoji23][emoji23]Wamekua wajinga kuwaita maskini lakini wakiwaita Middle Income wako sawa hadi Jiwe anajigamba. Hii ndo tunaita hypocrisy.Wengi wa Waafrika tuna ujinga wa ajabu sana
Hawa WB na IMF
Ni majizi makubwa na wanyonyaji wa Bara letu la Afrika
wanatuibia
wanatupangia
wanatuletea takwimu watakavyo wao
Sisi tunabaki kuchekana na kubezana
Hakika alie turoga amekufa
Naona ume zi sideline kipenzi chenu Rwanda na Burundi au hazipo east africaTanzania is the poorest nation in East Africa and among the poorest nations on planet earth.
IMF walidhibitisha juzi sasa World bank wameweka sahihiView attachment 1605690
I told you guys .. " sisi hatufwati hesabu za mabeberu za umaskini " excuse.Ndo maana Magufuli anawambia Waafrika wote waamke wawe na taasisi imara zinazoweza kufanya maamuzi sahihi kuliko kuwategemea Hawa waliotunyonya miaka nenda rudi hawaishi vineno Mara uhuru wa Habari,Mara umasikini nk. si walitutawala kwa muda mrefu mbona hawakutufanyia kila kitu saizi Nchi yetu ingekuwa kama uingereza km kweli walikuwa Wana nia njema na Sisi.
Sibishani na World Bank.Naona ume zi sideline kipenzi chenu Rwanda na Burundi au hazipo east africa