Lakini wakisema nyinyi ni uchumi wa kati mnakenua karibu meno ianguke. Mabeberu wanamuonea, wanataka kuiba Tanzania.Wengi wa Waafrika tuna ujinga wa ajabu sana
Hawa WB na IMF
Ni majizi makubwa na wanyonyaji wa Bara letu la Afrika
wanatuibia
wanatupangia
wanatuletea takwimu watakavyo wao
Sisi tunabaki kuchekana na kubezana
Hakika alie turoga amekufa
Upuuzi mtupu
Mwambie bwana! Sisi sio wa mchezo mchezo. Anazijua V8 huyo?TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
Makini and extremely poorNusu ya Watanzania ni makini
View attachment 1605671
Kwa hiyo Kenya na Zimbabwe hazipokei misaada? Mbona sisi kwa mara ya kwanza tunaendesha kampeni zetu za uchaguzi kwa pesa yetu? Na tunafanya vizuri?Tanzania is the poorest nation in East Africa and among the poorest nations on planet earth.
IMF walidhibitisha juzi sasa World bank wameweka sahihiView attachment 1605690
hehehe, hujamwambia poa π€£ π€£ π€£Sibishani na world bank.
Population ya Danganyika ya maskini 28m ni nyingi kuliko total population ya Burundi+Rwanda combined 23m. View attachment 1605815
TZ hatuwezi kula mawe jomba! Sisi ndiyo taifa lililo na uchumi mzuri kwa sasa EA hicho kipeperushi chenu peleka huko Kunyaland nasikia Turkana wananchi wanakufa kwa njaa!
Anaongea kinyume chake, yaani hapo alikuwa anawakejeli maCCMSasa leo World Bank wamekuwa Wakenya? Mbona venye waliwaweka kwenye uchumi wa kati hawakuwa wakenya?
Somebody Membe alisema watu wanashindia mihogo na madafu wanasinzia sinzia hovyo ππππ Ila aliyetufikisha hapa ni Jiwe,kitu kinachosaidia ni kwamba vyakula vinapatikana kwa bei nafuu na nchi haina majanga mengi ya asili Kama EthiopiaExtreme poverty,,... Inamaana idadi ya masikini huko bongo ni zaidi ya 80% sababu waliotajwa hapa ni walalahoi....yani kuweka chakula mezani kila Siku ni taabu
Kabishane na benki kuu ya dunia sio mimiKwa hiyo Kenya na Zimbabwe hazipokei misaada? Mbona sisi kwa mara ya kwanza tunaendesha kampeni zetu za uchaguzi kwa pesa yetu? Na tunafanya vizuri?
Hayo ni malengo yao ya kutu intimidate sisi kama kwenye hii clip inavyoonyesha:
Kusema ule ukweli, wameshindwa. Hawatatupata sisi. Asante lugha yetu ya kiswahili. Hawana ujuzi wa kutuingia sisi na kutuvuruga. Kiswahili hawaju. Sisi tuko imara. Watahangaika na haohao wakina Uhuru Kenyata wanao dhani kuwa wao ni wazungu, lakini kwenye kupiga kampeni za kura wanazungumza kiswahili ili watu wao wawaelewe. It is a ridicule thing!
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa number ya maskini ni nchi mbili combined na bado wanachagua aliyewapeleka hapohehehe, hujamwambia poa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Je, wewe umeangalia mwaka wa data na taarifa?makadirio ya watz ni 60 mil no longer 50 mil
Extremely poor lol Ni hatari kwa afya
Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.