Ngoja wajisifu vile wako na mabilionea wengi, ilhali asilimia 70% ya nchi ni maskini. Hiyo 28 million (~46%) ni wale maskini wa kutupwa, ongeza wale wanaoishi chini ya $1.90 kwa siku inafika asilimia 70% ya Watanzania.
Vile nawajua hawa watu, ni uvivu wa kutegemea serikali ifanye kila kitu ndiyo imewafikisha hapa. Mtanzania wa kawaida siyo mtu wa kujituma ama mwenye bidii. Yeye ni angoje apate muhogo na maharage tosha.