mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Karibuni tulikotoka 2013.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni tulikotoka 2013.
Afdb wamechukua kutoa kwenu wakaweka tu[emoji23][emoji23]
2014Karibuni tulikotoka 2013.
Wametoa world bankMsupuu acha kujitoa akili utokosa mume, ile dream yako ya kuolewa na mtzed itapotea.
Sasa kama AfDB walitoa data CCM kwamba uchumi wa Bongo unakuwa kwa 5.2%, na je data za uchumi wa kenya kukuwa kwa 1.4% wamezitoa jubilee au wapi?
Officially.2014
Walizusha ugonjwa hapa tz sijui zika tukawaminya pumbu sasa wakaja na korona wameumbuka hao mabeberu tasaMabeberu wakiwaita "uchumi wa kati" mnawasifia, wakitoa taarifa za hali ilivyo mbaya mnasema ni waongo.
Crap dataUmeandika other exports ziko affected utafikiri hujasikia habari za gold. View attachment 1505085
Haaa wapi toka watz tujue sababu za nyinyi mkija tz tunawakalibisha hadi majumbani kwetu ila sisi tukija Kenya mnatukimbia hamtaki kutupeleka mnapo ishi ! Zamani tulikuwa hatujui sababu tulidhani sababu ni kutokupendana kati yenu kumbe ni umasikini mnaishi kwa slumMlikuwa mnaumia sana siku hizi naona mshapata a little confidence.
Yani MTU unambonji kwa keja kibera slum anaweza kujifananisha na mtz impossible!!Hatuwapingi, ila ukweli walichukua data kutoka ccm
Wewe mkenya mwenye IQ kubwa kuliko Wakenya wote hapa JF VP na wewe umekimbia UZI wa dar vs naii kumbe na wewe mdebwedo, nimecheka sana kukuona hadi wewe umetimka[emoji125][emoji125]Wametoa world bank
!yes [emoji4]Crap data
Ulifika pande gani Kenya?Haaa wapi toka watz tujue sababu za nyinyi mkija tz tunawakalibisha hadi majumbani kwetu ila sisi tukija Kenya mnatukimbia hamtaki kutupeleka mnapo ishi ! Zamani tulikuwa hatujui sababu tulidhani sababu ni kutokupendana kati yenu kumbe ni umasikini mnaishi kwa slum
Hizi ishu ndio bado mnazijadili hko..so siwezi jirudiaWewe mkenya mwenye IQ kubwa kuliko Wakenya wote hapa JF VP na wewe umekimbia UZI wa dar vs naii kumbe na wewe mdebwedo, nimecheka sana kukuona hadi wewe umetimka[emoji125][emoji125]
@mwaswast njoo tukokote hii mbuzi imekimbia Uzi wa naii vs dar imewaacheni pekeyenu inakuwa pumbavu kama KDF ikiona al shababu wanakimbia wenzao, na kusababisha wenzao kuuwawa kwa kuzidiwaHizi ishu ndio bado mnazijadili hko..so siwezi jirudia
Bwahaha!!we ni jobless[emoji23][emoji23][emoji23]@mwaswast njoo tukokote hii mbuzi imekimbia Uzi wa naii vs dar imewaacheni pekeyenu inakuwa pumbavu kama KDF ikiona al shababu wanakimbia wenzao, na kusababisha wenzao kuuwawa kwa kuzidiwa