Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye Enzi Mungu akishafungua milango hakuna binadamu au kitu chochote kinaweza kuifunga!
Lazima hapo atoke nduki....u want evidence?
So what.Tanzania ni LDC.....hilo hamtokwepa hata mfanye nini
That growth hasn't factored in current restructuring plus infrastructural projects underway i. e. SGR, oil n pipeline n revamping of air transport.
It was infact that is the exact picture The world bank used
They can't add $30 bln to GDP because the project hasn't started.It was infact that is the exact picture The world bank used
Kuongelea ukuaji wa uchumikwa silimia bila kuongelea ukubwa wa uchumi hakutupi picha halisi.
Unaweza kushangili kikombe cha chai kinachojaa haraka kwa asilimia ya ujazo wake wakati mwenzako kajaza tanker mpaka juu na hawezi kujaza tena na hivyo ndiyo maana wewe kwa ukuaji wa asilimia unampita.
Unapoongelea percent, bila kuongelea percent ya nini, unaweza kudanganyika.
Mtu anaweza kukuambia percent 10 ya A na percent 1 ya B ukaona percent 1 ndogo.
Kumbe A ni sh 100 na B ni sh bilioni moja.
Na ni the developing economies ndio hutend kupost such high growth rates.
Nchi zilizoendelea, a growth rate of under 2% would be considered good enogh.
Yeah.Na ni the developing economies ndio hutend kupost such high growth rates.
Nchi zilizoendelea, a growth rate of under 2% would be considered good enogh.
Yeah.
Nikamavile unampima mtoto mdogo anavyokua, ukimuacha mtoto ana miaka minne na kumpimaurefu mwaka mmoja baadaye akiwa na miaka mitano, anakuwa karefuka sana kwa asilimia ya urefu wake wote.
Lakini mtu mzima mwenye miaka 60 kashamaliza kukua hakui sana.
Tunaweza kushangilia kama habari nzuri lakini lazima iwekwe kwenye context.
Ukuaji wa kasi kubwa sana wa uchumi unaweza kuashiria kwamba sisi ni masikini sana.
Ukiwa na uchumi wa sh 100 ukaongeza sh 100 nyingine umeongeza 100%ya uchumi wako.
Ukiwana uchumi wa shilingi bilioni moja, ukaongeza milioni 100, umeongeza 10%.
Kwa maoni yangu, hapo itategema na kiwango cha umaskini na ukosefu wa maendeleo. Tazama nchi zilizo maskini kabisa, tuseme kama Congo (DR) ama CAR na mengineo, ili kujikomoa kutoka kwenye hiyo hali kwa haraka, ukuaji wa 5% kwa kweli hautoshi.And 4%-8% growth for a developing country is not good enough.
Ironically Kenya is the first middle income country that languishes in hunger n is fed by an LCD Tanzania. [emoji85]
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Kwa maoni yangu, hapo itategema na kiwango cha umaskini na ukosefu wa maendeleo. Tazama nchi zilizo maskini kabisa, tuseme kama Congo (DR) ama CAR na mengineo, ili kujikomoa kutoka kwenye hiyo hali kwa haraka, ukuaji wa 5% kwa kweli hautoshi.And 4%-8% growth for a developing country is not good enough.