World bank forecasts Tanzania as the third fastest growing economy in Africa next year

Mtaelewa tuu ngoja tuendelee kujenga miundombinu ya gas,,,mafuta na SGR to mza mtaelewa tuu,,,uzuri nakubali sana jinsi tunavyojikosoa sisi wenyew na hapo ndo tunazid kukuza uchumi maana hatupendi kujisifia ujinga,,,wakenya wao wanakufa na njaa ila wanabak humu mtandaoni wanajisifia japo wanajua wanaongea uongo,,,keep up tz kukosoana ndo uchumi unajengwa kwa kukosoana na siyo kudanganyana huku watu wanakufa na njaa huko kenya
 
Is better kujijua dhaifu na kusema ukwel kuliko wenzetu hawa penda kujisifia kumbe wanakufa njaa. Jisifien tuu we don mind tunasonga. Tunaweza kuwa tulifanta mistake but no more
 
Miongoni mwa plans nzur za next year according to minister ni
No VAT for transit goods ...
No VAT for industrial machines imported ones
Kuandikisha wafanya biashara wote wadogo
Kutoza kodi ya majengo na nyumba zote
 
That growth hasn't factored in current restructuring plus infrastructural projects underway i. e. SGR, oil n pipeline n revamping of air transport.
1496944537158.png

This is impressive no doubt
Wish Kenya would grow At such a pace!!

Bravo !
 
Kuongelea ukuaji wa uchumi kwa asilimia bila kuongelea ukubwa wa uchumi hakutupi picha halisi.

Unaweza kushangili kikombe cha chai kinachojaa haraka kwa asilimia ya ujazo wake wakati mwenzako kajaza tanker mpaka juu na hawezi kujaza tena na hivyo ndiyo maana wewe kwa ukuaji wa asilimia unampita.

Unapoongelea percent, bila kuongelea percent ya nini, unaweza kudanganyika.

Mtu anaweza kukuambia percent 10 ya A na percent 1 ya B ukaona percent 1 ndogo.

Kumbe A ni sh 100 na B ni sh bilioni moja.
 
Kuongelea ukuaji wa uchumikwa silimia bila kuongelea ukubwa wa uchumi hakutupi picha halisi.

Unaweza kushangili kikombe cha chai kinachojaa haraka kwa asilimia ya ujazo wake wakati mwenzako kajaza tanker mpaka juu na hawezi kujaza tena na hivyo ndiyo maana wewe kwa ukuaji wa asilimia unampita.

Unapoongelea percent, bila kuongelea percent ya nini, unaweza kudanganyika.

Mtu anaweza kukuambia percent 10 ya A na percent 1 ya B ukaona percent 1 ndogo.

Kumbe A ni sh 100 na B ni sh bilioni moja.

Na ni the developing economies ndio hutend kupost such high growth rates.

Nchi zilizoendelea, a growth rate of under 2% would be considered good enogh.
 
And 4%-8% growth for a developing country is not good enough.
 
Yeah.

Nikamavile unampima mtoto mdogo anavyokua, ukimuacha mtoto ana miaka minne na kumpimaurefu mwaka mmoja baadaye akiwa na miaka mitano, anakuwa karefuka sana kwa asilimia ya urefu wake wote.

Lakini mtu mzima mwenye miaka 60 kashamaliza kukua hakui sana.

Tunaweza kushangilia kama habari nzuri lakini lazima iwekwe kwenye context.

Ukuaji wa kasi kubwa sana wa uchumi unaweza kuashiria kwamba sisi ni masikini sana.

Ukiwa na uchumi wa sh 100 ukaongeza sh 100 nyingine umeongeza 100%ya uchumi wako.

Ukiwana uchumi wa shilingi bilioni moja, ukaongeza milioni 100, umeongeza 10%.
 
Exactly! Kwanza nimependa sana hiyo metaphor umetumia hapo kucompare ukuaji wa binadam na uchumi. Imeingiliana vizuri.

Uchumi changa, given the right conditions, hukua kwa haraka sana kuliko zile zilizokomas.
 
And 4%-8% growth for a developing country is not good enough.
Kwa maoni yangu, hapo itategema na kiwango cha umaskini na ukosefu wa maendeleo. Tazama nchi zilizo maskini kabisa, tuseme kama Congo (DR) ama CAR na mengineo, ili kujikomoa kutoka kwenye hiyo hali kwa haraka, ukuaji wa 5% kwa kweli hautoshi.
 
A country tbag devours Albinos has never fed Kenya. That should be very clear in your ujamaa head
 
Back
Top Bottom