World Bank: Kampala could become a mega slum in 10 years

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
The World Bank has cautioned that Kampala could become a mega slum in the next 10 years if no action is taken to improve the quality of infrastructure and commercial investment.

Human population in Kampala and other urban centres is growing faster than the rural areas because the youth are rapidly migrating from the rural to urban areas. This, as they search for employment opportunities, which are mainly concentrated in urban areas where industries and other employing firms are found. Currently, 6.4 million Ugandans live in urban areas across the country.

However, the World Bank report projects that 21 million people in Uganda will live in urban areas by 2040. Speaking during the launch of the fifth edition of Uganda's economic report titled: The Growth Challenge: Can Ugandan Cities get to Work? last week in Kampala, the World Bank Country Director for Tanzania, Uganda and Burundi, Mr Philippe Dongier, said: "Kampala could either become a mega city or a mega slum in the next 10 years due to high urban population growth rate with low economic activities and poor infrastructures."

Mr Dongier said Kampala Metropolitan has a population of 3.5 million with that projected to grow to 10 million in the next 10 years. The people will out space the available facilities and services within the city if no proper infrastructure and capital investment is done now, he warned.

"The challenge is that this requires integrated urban planning to attract more investments in the city. By urbanising effectively with all the necessary infrastructure and increased investments in urban centres Uganda will be more likely to achieve middle income status by 2040," he said.

Source: pesatimes
 
Kuna jamaa yangu toka UG alikuwa analalamika kuwa mji wao huko hovyo sana kimpangilio sababu ya sheria za ardhi ambazo serikali haina power ya kulazimisha watu ku relocate kwa ajiri ya kurekebisha makosa ya awali...ardhi ni mali binafsi kule kama si mali ya ukoo...
 
This is not the solution.The solution that is needed is to spread development in maginalized regions in Uganda.If Uganda continues to decorate kampala with lipsticks,body lotions etc it will just make miss kampala more attractive and thus attract more immigrants from other regions to continue flooding to seek to live with miss Kampala the only beautiful girl in uganda.
 
Kuna jamaa yangu toka UG alikuwa analalamika kuwa mji wao huko hovyo sana kimpangilio sababu ya sheria za ardhi ambazo serikali haina power ya kulazimisha watu ku relocate kwa ajiri ya kurekebisha makosa ya awali...ardhi ni mali binafsi kule kama si mali ya ukoo...

wakiambiwa waige land laws zetu wanabisha.....
The whole EAC should adopt Tanzania's land laws!
 
Ndio zipi hizo maana hata Dar ndio unplanned kishenzi. Nilisoma kuwa tume yenu ya ardhi imekata tamaa baada ya kushindwa kubuni sera itakayotumika kwa ajili ya kutatua masuala ya ardhi.
Juzi tu nyumba 38 zimechomwa kwa ajili ya matatizo ya ardhi Tanzania https://www.jamiiforums.com/habari-...-tanzania-kwa-ajili-ya-matatizo-ya-ardhi.html

Heri sisi Wakenya tulikumbwa na haya matatizo na tuko mbioni kuyarekebisha, tumeona madhara yake, tumepigana hadi sasa kimeeleweka, tayari tumeandika katiba inayogusia ardhi pakubwa. Nyie bado mpo mpo tu.

4184037651_0e03a629fc_b.jpg
 
yani kama we ni mkenya bora ungekaa kimya tu,kuhusu maswala ya ardhi hatuna chakujifunza kutoka kwenu...
 
Heri sisi Wakenya tulikumbwa na haya matatizo na tuko mbioni kuyarekebisha

Hizo mbio ni lini mtazifikia? muda mrefu umepita toka katiba iandike jambo hilo.Lini familia ya Kenyatta itaachia maeneo mazuri makubwa na yenye rutuba wanayomiliki na kuyakabidhi kwa watu wasio na ardhi?
 
Huyu kila kitu kuhusu Kenya hukitetea anadhani hatupajui.
 
yani kama we ni mkenya bora ungekaa kimya tu,kuhusu maswala ya ardhi hatuna chakujifunza kutoka kwenu...

Utashangaa sana mkituiga neno kwa neno, nchi yetu inazidi kuboreka, nakiri tulikua pabaya, lakini sasa tunazidi kurekebisha.
 
Huyu kila kitu kuhusu Kenya hukitetea anadhani hatupajui.

Achana naye huyo mkenya Tanzania tulipokatalia swala la ardhi kuingia kwenye jumuiya ya Afrika mashariki wakenya wengi wanalia hadi leo.Yeye analeta bla bla za ardhi kuwa kule kuna sera nzuri za ardhi sijui anamdanganya nani.Kwa ufupi watanzania wengi hatuna mpango wa kuja kenya kutafuta ardhi sababu kwanza haipo na ikiwepo ni kwa ajili ya matajiri wenye hela.Kenya sio ajabu kukuta msomi anaishi kwenye nyumba za mabox au manailoni kwenye majalala ya mathare au kibera kwa kukosa uwezo wa kupanga nyumba au kujenga wakati kwa Tanzania ukikuta mtu anaishi nyumba ya hivyo unajua ni kichaa tu huisogelei hata kuisogelea.
 
Hatutegemei mje kutuomba ardhi, ila tatizo ni kuwa mna ardhi kubwa yenye rotuba lakini kila siku umaskini unawamaliza, hamna jinsi ya kujiboresha, uvivu na uzembe ndio zenu. Nyie ndio mfano kuwa Afrika tumelaaniwa kiaina, mna kila kitu lakini bado mpo mpo tu. Hadi mmefikia kujazana pembeni mwa barabara za Kenya mkiomba omba.

Last edited by a moderator:
Ndio zipi hizo maana hata Dar ndio unplanned kishenzi. Nilisoma kuwa tume yenu ya ardhi imekata tamaa baada ya kushindwa kubuni sera itakayotumika kwa ajili ya kutatua masuala ya ardhi.
Juzi tu nyumba 38 zimechomwa kwa ajili ya matatizo ya ardhi Tanzania https://www.jamiiforums.com/habari-...-tanzania-kwa-ajili-ya-matatizo-ya-ardhi.html

Heri sisi Wakenya tulikumbwa na haya matatizo na tuko mbioni kuyarekebisha, tumeona madhara yake, tumepigana hadi sasa kimeeleweka, tayari tumeandika katiba inayogusia ardhi pakubwa. Nyie bado mpo mpo tu.

4184037651_0e03a629fc_b.jpg

Tatizo letu ni utekelezaji tu. otherwise Tanzania's land laws are the best and more pro-poor. Land here is property of the government: people only 'lease' it.
 
Heri sisi Wakenya tulikumbwa na haya matatizo na tuko mbioni kuyarekebisha, tumeona madhara yake, tumepigana hadi sasa kimeeleweka, tayari tumeandika katiba inayogusia ardhi pakubwa. Nyie bado mpo mpo tu.

Kamweleze Uhuru k au mama kenyatta upuuzi huu uone kama utaiona kesho
 
Hatutegemei mje kutuomba ardhi, ila tatizo ni kuwa mna ardhi kubwa yenye rotuba lakini kila siku umaskini unawamaliza, hamna jinsi ya kujiboresha, uvivu na uzembe ndio zenu. Nyie ndio mfano kuwa Afrika tumelaaniwa kiaina, mna kila kitu lakini bado mpo mpo tu. Hadi mmefikia kujazana pembeni mwa barabara za Kenya mkiomba omba.

Umeniacha hoi.Hivi hao omba omba wwaliwezaje kuingia Kenya wakakaa zaidi ya muda wa visa? Na waliwezaje kufanya kazi ya kuomba omba wakati sheria zipo na haziruhusu?

Nakuhakikishia pamoja na ulemavu wao wanakotoka hao walemavu kama ni kweli ni watanzania hakuna shida ya Ardhi wawe wametoka mwanza,shinyanga,dodoma au kokote na umaskini wao huo lakini hata kenya ikiwarudisha wana ardhi na maeneo yao watokako tofauti na wakenya wasomi wengi ambao Tanzania tukiamua kuwatimua hawana pa kwenda wala ardhi hata kipande.
 
Hawa huwa tunawahurumia na kuwasaidia, wapo kila mji, Nairobi, Eldoret, Mombasa n.k.
Sheria zipo lakini fahamu sheria ipo kwa ajili ya jamii sio jamii kwa ajili ya sheria. Huwezi fanya mambo ya kinyama eti sheria.
Serikali imewafurusha mara nyingi lakini wao hurudi tu, sasa wameachiwa kabisa na wanazidi kuitana wao kwa wao.
 
Mmewafanya kitega uchumi cha kuombea misaada kwa wazungu.Wakenya wajanja watakuwa wanawapiga picha na kuandikia kuomba misaada ndio maana vigumu kuwafukuza.
 
Mimi nadhani hiyo ni desturi yenu, hivi una fahamu jinsi rais wenu anafahamika kuzunguka ughaibuni akiomba omba na kibakuli. Nchi yenye kila kitu lakini uombaji umekuwa desturi. Ni dhihirisho Mwafrika ana kasoro fulani maana Watanzania hamna sababu yoyote ya kutoongoza Afrika yote kiuchumi, lakini hapa hata kainchi kadogo kama Kenya kenye ardhi yake kubwa ni kame tupu kamewashinda hadi kiuchumi.
 
Mimi nadhani hiyo ni desturi yenu, hivi una fahamu jinsi rais wenu anafahamika kuzunguka ughaibuni akiomba omba na kibakuli.

Wewe sema taratibu! kama nyie sio omba omba kwa nini mlimwomba Kikwete aje Kenya awasuhishe wakati wa vita mlizopigana mkauana hadi maraisi wenu kushitakiwa the HAGUE?

Bila Kikwete kuja kuwasaidia kule leo hii wewe ungekuwa umeshakufa kwa vita za kikabila Kenya.Yaani wasomi wazima wa kenya mlishindwa kumalizana hadi muombe Raisi wa Tanzania aje awasaidie?
Tatizo wakenya huwa mnasahau upesi.Mchango wa Kikwete mlishausahau mnaanza kumporomoshea matusi.
 
Ugomvi wa Kenya tulipatanishwa na viongozi wengi duniani, rais Kikwete akiwa mmoja wao. Hilo ni jambo la kawaida ndugu wanapokosana na kupatanishwa na watu wenye nia njema. Hivyo hivyo tunajaribu kuhusika katika kuwapatanisha Wasudan. Hilo huwezi linganisha na omba omba.

Tatizo la kuomba omba litaeleweka kama nchi imekumbwa na majanga, lakini Tanzania
- Amani tele
- Ardhi yenye rotuba tele
- Watu tele
- Madini tele
- Utalii tele
- Bandari tele
Yaani naweza nikajaza kurasa kadhaa nikiorodhesha mazuri mlionayo, lakini sasa inakua hamueleweki tatizo huwa nini, laana ya aina gani mlilaaniwa, umaskini tele. Omba omba hao wamejaa pembeni mwa barabara za Kenya. Rasi wenu dunia anazunguka na kibakuli, yaani uvivu wa kutupwa unawamaliza. Afrika kuna laana tu.
 
Rasi wenu dunia anazunguka na kibakuli, yaani uvivu wa kutupwa unawamaliza. Afrika kuna laana tu.
Naomba basi nenda kwanza mmalize tatizo la UKabila Kenya na Tatizo la ALSHABAB halafu uje tuongelee mambo ya uchumi hapa ukiwa umetulia huweweseki ukabila na kuota ALSHABAB
 
Back
Top Bottom