Huu ndio uwongo viongozi wazembe wamekua wakiwadanganya Watanzania, eti Uingereza ilisaidia Kenya. Ukiangalia takwimu za uchumi, tofauti ilikua kidogo sana mnamo mwaka wa 2006, lakini kwa uongozi wa Kibaki, tulijituma hadi tukapaa, hamna siri yoyote nyingine, ni kujituma tu.
![]()
![]()
Wewe rafiki una matatizo sana. Ina maana mpaka sasa hujui maana ye neno ''forecast''? Unatuletea forecast data ili iliweje. Wenzako tunazungumzia tofauti ya uchumi wa nchi hizi tangu ukoloni sio kutokana na uhodari wenu, wewe unakuja na forecast za kuanzia mwaka 2004!!!!!
Anyway, sina cha kubishana zaidi na wewe wenye akili wameona wenyewe.