MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Naomba basi nenda kwanza mmalize tatizo la UKabila Kenya na Tatizo la ALSHABAB halafu uje tuongelee mambo ya uchumi hapa ukiwa umetulia huweweseki ukabila na kuota ALSHABAB
Unaongea na kutubeza ni kama Tanzania kumetulia tuli
- Amboni movie
- Watoto wa Panya road wanababaisha nchi
- Albino mnawang'ata karibu kila siku
- Mafisadi wanaodai Milioni 10 ni hela ya mboga tu
- Udini
- Tegeta, Richmond, Uswizi etc
Yaani usitake nirodheshe uchafu mlionao wakati mnacheka cheka na ustaarabu.