World Bank : Kenya, Zimbabwe, Zambia zaongoza kwa umasikini duniani

World Bank : Kenya, Zimbabwe, Zambia zaongoza kwa umasikini duniani

Nilijua ni fake news possibly from a disgruntled Tanzanian kisha anasema eti source ameweka eti
Home | Kenyans.co.ke
Hakuna taarifa Kama hiyo kwa hii link[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] nimeenda world Bank and downloaded the whole report launched this week have skimmed through fala yeye World Bank cannot contradict themselves:
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]report at their website;
View attachment 1689187

Some excerpts [emoji116][emoji116]
View attachment 1689196
The report is about inclusion programs by world Bank across different countries and their performance, with impact of covid19, etc , Kuna several case studies. Mitanzania
Kiingereza kizungumkuti kwa majirani. Ama umesahau hilo? Mimi nilipitia hiyo ripoti jana nikabaki tu nikicheka. Hizi zote zimesababishwa na ile ripoti ya WB about extreme poverty in Africa ambayo Tanzania ilikuwa kwenye "tatu bora" africa with 28 million people living in extreme poverty. It's a counterattack but a very shallow and desperate one.

Hii ndio kitu inawakasirisha bro 😂

Unemployment rate nayo haiko nyuma inapaa kweli kweli.

IMG_20210130_113920.jpg
Es0ekXaXAAEqqPO.jpeg

CCM yaani mbinguni hawaendi! Kama huu si utapeli ni nini?
 
Nilijua ni fake news possibly from a disgruntled Tanzanian kisha anasema eti source ameweka eti
Home | Kenyans.co.ke
Hakuna taarifa Kama hiyo kwa hii link[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] nimeenda world Bank and downloaded the whole report launched this week have skimmed through fala yeye World Bank cannot contradict themselves:
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]report at their website;
View attachment 1689187

Some excerpts [emoji116][emoji116]
View attachment 1689196
The report is about inclusion programs by world Bank across different countries and their performance, with impact of covid19, etc , Kuna several case studies. Mitanzania
Hahahaha, hizi ni propaganda za CCM sio kweli, kwasababu Kenya hawafichi data ndio sababu WB wanadanganya kuhusu uchumi wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Exactly [emoji28][emoji1787][emoji1787]lazima ni mtanzania ameandika ili Kenya ionekane chini yao, worst ni eti anaweka Burundi above us, Central African Republic., angalau angetumia list ya 2020 ya poverty index ya world Bank acheze nayo kiasi by manipulating a few info., [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] Nime skimm through the report which was released on Tuesday..,
Hahahaha, Kenya is really a Failed state

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Bl
Kwani aliemuacknowledge mwenzake ni nani kati ya hizo blogs mbili?

Tatu Bomba inakudrive crazy aisee
Bloody fool kwanza unafaa ukuje uchukue ndugu zako ombaomba wamejaa huku Kenya hadi kero.Poor beggars from your poor filthy country
 
Bl
Bloody fool kwanza unafaa ukuje uchukue ndugu zako ombaomba wamejaa huku Kenya hadi kero.Poor beggars from your poor filthy country
Sasa mbona unanikasirikia utafikiri mimi ndio nimesema ninyi ni mafukara number 1 duniani?
 
Kenya ni fukara la mwisho hata Burundi hawaoni ndani kwenye EAC *****

Report mpya ya 2021 inasema 61% ya wakenya ni masikini wa kutupwa

Report inazidi kudadavua kwamba umasikini uliopo Kenya ni mara 10 ya uliopo Afghanistan na Iraq

Ama kwa hakika awamu hii world bank wamechoshwa na mapishi ya takwimu za kenya, mpaka kuwarank level 1 na Pakistan sio kazi ndogo

MK254 karibu jukwaani
1612000507692.png
 
Hahahaha, hizi ni propaganda za CCM sio kweli, kwasababu Kenya hawafichi data ndio sababu WB wanadanganya kuhusu uchumi wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kila kitu una anzisha kinaumbuliwa na facts, so unalialia nini?[emoji28][emoji23]
Pambana na hali yenyu mzee
Hapa[emoji116][emoji116][emoji116]nikama mtakomaa kwa mda[emoji15][emoji15]
JamiiForums1552698300.jpg
 
Wewe si ulisema pamoja na madeni yote mliyonayo na curfews na lockdown bado mpo gado? Sasa mbona mpo masikini kuliko hata Burundi?
Kenya inawasumbua sana?? hamlali? ok! Kenya ako maskini so what!! narudia tena sisi ni Maskini wa Elimu na kila kitu! Dunia nzima chekeni mfurahi basi?? tunawaumiza sana, sisi kuwa maskini kwa kuwa mantujua kichini chini!.........halafu tunalilisha Dunia kwa chai bora!!
 
so let me get this straight, bongolalas chose to hide their insecurities behind a blog post which cites another blog as it's source? this what you thought was going to get on kenyans on here?

always remember, it's your right to be an idiot.
 
Back
Top Bottom