World Bank : Kenya, Zimbabwe, Zambia zaongoza kwa umasikini duniani

Hii inakuwaje Wazee, Kenya wanatuzidi thamani ya sarafu yao iweje leo hii wawe masikini kuliko sisi ??.
 
Na hiyo nayo imetolewa na World Bank, Sasa tuiamini ipi na tuiache ipi??.
Tuonyeshe mahali WB walitoa hiyo ripoti. Mimi naweza kukuonyesha ripoti ya WB inayosema Tanzania ndiyo nchi ya tatu kwa ufukara hapa Africa
 
Hiyo thread ipo humu humu JF,ndo Ina hiyo Ripoti ya World Bank.
 
Hiyo ripoti ni kutoka blog fulani na wao ndiyo wanajua Mahali walitoa ripoti yenyewe. Hakuna mahali WB wamechapisha ripoti kama hiyo ndiyo maana nikakuambia kama unajua ripoti kama hiyo ya WB ambayo wamechapisha wao wenyewe utuonyeshe. Mimi on the other hand, naweza kukuonyesha ripoti ya WB inayotaja Tanzania kama nchi ya tatu kwa ufukara barani Africa.
 
Kenya tena? Mbonahata hela yao ipo juu kuliko madafu yetu haya?
 
Wacheni kujifariji na blogs uchwara. Ripoti ya WB kuhusu ufukara Africa ilitolewa mwaka jana na ndiyo hii hapa mnaposhikilia tatu bora
2679393_JamiiForums1552698300.jpg
 
Kenya tena? Mbonahata hela yao ipo juu kuliko madafu yetu haya?

Lazima wawe masikini. Wee fikiria mpaka watoto wanazimia kwa kukosa chakula. Kenya kupata mlo mmoja ni kitendawili.
 
Na hiyo nayo imetolewa na World Bank, Sasa tuiamini ipi na tuiache ipi??.
Alieanzisha mada alinukuu blogsite na akasema hio blogsite wametoa kwa ripoti ya WB, Lakini ripoti yenyewe ya WB haisemi hivyo... Kwahivyo blogsite ilidanganya ... Kumbuka blogsite ni tovuti ambayo mtu yeyote anaweza kuanzisha ikiwemo mimi na wewe.
 
Hawa nakuambia itakua unapigia mbuzi guitar, ata kuingia website ya world bank kudhibitisha ni vigumu, ama wanajitia hamnazo ili tu wajiliwaze.., Tanzania ni nchi kubwa nzuri, lakini system ni hovyo, matunda yake ni ufukara ulio tapakaa kote kote!
 
Kenya vipi? Inaongoza kiuchumi Afrika Mashariki, labda slam ya kibera inawaangusha. Ukifika kibera hutaamini ni Kenya yenye uchumi mkubwa.
 
Alieanzisha mada alinukuu blogsite na akasema hio blogsite wametoa kwa ripoti ya WB, Lakini ripoti yenyewe ya WB haisemi hivyo... Kwahivyo blogsite ilidanganya ... Kumbuka blogsite ni tovuti ambayo mtu yeyote anaweza kuanzisha ikiwemo mimi na wewe.
Sawa, ngoja tuendelee kujifukiza
 
Back
Top Bottom