World Bank : Kenya, Zimbabwe, Zambia zaongoza kwa umasikini duniani

Kiingereza kizungumkuti kwa majirani. Ama umesahau hilo? Mimi nilipitia hiyo ripoti jana nikabaki tu nikicheka. Hizi zote zimesababishwa na ile ripoti ya WB about extreme poverty in Africa ambayo Tanzania ilikuwa kwenye "tatu bora" africa with 28 million people living in extreme poverty. It's a counterattack but a very shallow and desperate one.

Hii ndio kitu inawakasirisha bro 😂

Hahahaha, hizi ni propaganda za CCM sio kweli, kwasababu Kenya hawafichi data ndio sababu WB wanadanganya kuhusu uchumi wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, Kenya is really a Failed state

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Bl
Kwani aliemuacknowledge mwenzake ni nani kati ya hizo blogs mbili?

Tatu Bomba inakudrive crazy aisee
Bloody fool kwanza unafaa ukuje uchukue ndugu zako ombaomba wamejaa huku Kenya hadi kero.Poor beggars from your poor filthy country
 
Bl
Bloody fool kwanza unafaa ukuje uchukue ndugu zako ombaomba wamejaa huku Kenya hadi kero.Poor beggars from your poor filthy country
Sasa mbona unanikasirikia utafikiri mimi ndio nimesema ninyi ni mafukara number 1 duniani?
 
MK254 karibu jukwaani
 
Hahahaha, hizi ni propaganda za CCM sio kweli, kwasababu Kenya hawafichi data ndio sababu WB wanadanganya kuhusu uchumi wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kila kitu una anzisha kinaumbuliwa na facts, so unalialia nini?[emoji28][emoji23]
Pambana na hali yenyu mzee
Hapa[emoji116][emoji116][emoji116]nikama mtakomaa kwa mda[emoji15][emoji15]
 
Wewe si ulisema pamoja na madeni yote mliyonayo na curfews na lockdown bado mpo gado? Sasa mbona mpo masikini kuliko hata Burundi?
Kenya inawasumbua sana?? hamlali? ok! Kenya ako maskini so what!! narudia tena sisi ni Maskini wa Elimu na kila kitu! Dunia nzima chekeni mfurahi basi?? tunawaumiza sana, sisi kuwa maskini kwa kuwa mantujua kichini chini!.........halafu tunalilisha Dunia kwa chai bora!!
 
so let me get this straight, bongolalas chose to hide their insecurities behind a blog post which cites another blog as it's source? this what you thought was going to get on kenyans on here?

always remember, it's your right to be an idiot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…