World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

kati ya 2007 na 2012 population iliongezeka sana tu but JK alipunguza idadi ya masikini kwa 1M.
huyu mwingine (mrithi wake) kaja katuongezea masikini 2M!

October tunataka kiongozi anayepunguza umasikini siyo anayeongeza!!
Mbona Tanzania haikuingia kwenye uchumi wa kati kama kweli alipunguza kwa asilimia kubwa
 
Mbona Tanzania haikuingia kwenye uchumi wa kati kama kweli alipunguza kwa asilimia kubwa
kama ulikuwa hujui sikiza nikupe data.

katika kufikia uchumi wa kati, michango ya marais 3 kuanzia awamu ya 3 ni kama ifuatavyo:

JK ameshika usukani kwa kuchangia $480B.
Mkapa kafuatia kwa mbali na $330B.
JPM kashika mkia kachangia $100B tu.

in fact, kwa trend aliyokuwa anakwenda nayo JK tungekuwa tayari tumeingia uchumi wa kati tangu 2016-2017.
 
Mkuu unaweza kuwataja kwa majina hao walioongezeka??
Mimi wa kwannza.
Lukuvi (Mungu amlaani yeye na aliyemtuma) kanivunjia nyumba yangu Kibamba,na mimi nilikuwa namiliki kiduka pale.
Vyote vimekwenda, hivi sasa sina nyumba na najiegesha nyumba za kusaidiwa na msamaria,
Maisha ni mbio kama Chita katika mawindo kutafuta mlo wa siku
 
Unaujua mlipuko wa ongezeko la watu Tanzania? Bila kuingiza hilo takwimu,hizo takwimu ni hazina maana, kwa kifupi kulikuwa na watu wangapi TZ 2012 vs 2020?
Kwa hiyo awamu ya nne kulikua hamna mlipuko wa watu?!
 

Ni wapi ulijifunza kwamba watu wakiongezeka umasikini unaongezeka? Inawezekana ccm ikawa ni tanuli la kupunguza akili za watu
 
Huyu alitakiwa aendelee kuongoza ng'ombe machungani, sio kuongoza Taifa!

Sijui mkosi gani ulitupata! Ameharibu sana nchi hii
Huku Mwinyi anasema aongezewe muda kama ahsante.
 

Attachments

  • 7C7CB07E-34D0-4C0E-A286-9C3EA0EC36D3.jpeg
    51.6 KB · Views: 1
Uchumi wa kati upo hapo chato sogeni sogeeni wakuu

Ukweli ni kwamba huu ati UCHUMI WA KATI uko labda kwa Magufuli na Wana CCM wenzake!
Mwalimu Nyerere alipenda kusema: UCHUMI WA NJI LAZIMA UAKISI(reflect) maisha ya Wananchi na si Vinginevo.....!!!!
Huu Uchumi wa kupika(cooked data) kwenye Makabrasha ni uhuni mtupu!
 
Kwanza umecheck takwimu zilivyo, kwamba JK alikua amepunguza umaskini pakubwa, mkaja nyie na mikwara na makelele yenu na kuzalisha maskini wengi.
Kadri miaka inavyosonga masikini na matajiri wote lazima waongezeke tu.Hapo kikubwa ni kupunguza asilimia ya wanaoishi kwenye lindi la umasikini.Kwamba masikini waongezeke sawa ila watu wa vipato vya kati na vya juu waongezeke kwa rate ya kubwa kuliko masikini.Hapo hata masikini wakiongezeka ila rate(%) ya umasikini kwa nchi itapungua maana watamezwa na ongezeko la watu wa vipato vya kati na vya juu.Mimi naamini japo masikini wanaongezeka ila asilimia ya wanaoishi kwenye umasikini inazidi kupungua.Wengine wanaweza wasinielewe ila naamini kwa upeo wako umenielewa hapo.
Halafu nikome mimi sio mtu wa serikalini.Nipo sekta binafsi kabisa,kwenye mambo yetu yale😎.
 
Huyu mzee mwinyi ni dhaifu toka zamani, na bila Mwalimu kuwa hai kipindi kile angejiongezea muda atawale hadi afie ikulu!

Tuliokuwepo wakati wa utawala wake tunakumbuka alivyobomoa misingi ya taifa hili kwa udogo wa akili yake

Huyu Mzee Mwinyi kanikera sana Leo na anaseeka vibaya !!! Nasikia alikuwa Mwalimu wa shule za msingi(NGUMBARU) kabla hajawa Mbunge na ndo maana ana low IQ....!!!
Kuongeza muda wa Asante miaka 5 Ni KUVUNJA KATIBA YETU....Pambaf kabisa! Sijui kwa vile mwanae Hussein kateuliwa na Jiwe kuwa mgombea wa Urahisi huko Zenj?
 

Kun hayo mahesabu mnatumia nguvu nyingi kukwepa...hehehe...ina maana wakati wa JK watu hawakua wanaongezeka, chukua calculator udadavue hayo mahesabu utamuelewa mleta mada, au labda unakwepa kimaksudi.
Haya bwana...
 
Haya yote wale mbwa wa uvccm hawajui na hawawezi kuwa na fikra km hizi maana kwao vyeo kwanza taifa baadae
 
Uchumi wa cut
 
In addition the @WorldBank report finds alarming poverty vulnerability level in Tz. For every FOUR people who move out of poverty in 2018 THREE returned to poverty in 2019.

In Tanzania, between 2012 and 2018 (latest data available) 2 million more people were living in poverty per World Bank
2012: 12m in poverty
2018: 14m in poverty
Hebu tusaidiane: tunajivunia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…