WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

Kwa hii Serikali ya Jiwe Uchumi unaweza kuporomoka zaidi ya hapo!
Jiwe amekuwa na Kibri Cha kutosikiliza maelekezo ya WHO kiadi kwamba hivi Sasa Biashara na majirani iko Mashakani! Lakini pia hata hili la kufungua Anga kwa Utalii bado Kuna mashaka makubwa kwa vile nchi Kama Marekani hazija amini kuwa Tanzania imeidhibiti Covid-19!
The Tanzania government hasn't been transparancy on Covid-19!
Waliosikiliza WHO uchumi umeenda hadi negative rais ametuasa tufanye kazi kwa bidii kwani mahitaji kama vyakula yatakuwa bei juu hivyo ni vema kuwa na akiba
 
Kwa Dr Mpango na team yake wizarani report imetoka muda muafaka muhimu ni kumpigia simu bwana mkubwa na waropokaji wenzie waache kama ilivyo.

Mtazamo kama huu ndio serikali inataka wazungu waamini wakati unaomba upewe break ya kutolipa madeni kwa miaka miwili.
 
Duh. Mabeberu tena.

Ila wangesema tu kua uchumi utakua kwa kasi ya kimbunga 9.7% mwaka huu wangepata hasara gani? Roho mbaya tu.
 
Ile paper iliyoandaliwa na UNDP ilikuwa ktk mitizamo mitatu yenye kuiangalia nchi yetu ktk mtazamo wa kupambana na maambukizi mapya ya Corona. Yote hayo, yaani "best, moderate & worst case scenarios we don't qualify at all". Viongozi wetu wa chama pendwa hivi wanakosea wapi?
 
Viongozi wana akili ndogo ndio maana taifa limegota, wanajua propaganda za kijinga kupiga kelele za mabeberu, na kuiba kura waendelee kubaki madarakani wakati kuongoza hawawezi.

Ukiona vigezo vyote vitatu tumefeli, ni sawa na mwanafunzi aliefeli kwa kiwango ambacho hakikutarajiwa na mtunga mtihani!.
 
Hawa jamaa kuna kipindi fulani hapo nyuma walikuja na ufaulu usioridhisha wa "Division V" wakati wa uwaziri wa elimu wa Mh. Kawambwa ili kuficha aibu.
 
Hata hili watasingiziwa mabeberu

Jr[emoji769]

Kwene principles za management wanasema Kiongozi yeyote DHAIFU whether ni Maneja or Mkuu wa idara AKISHINDWA Jambo lolote atatafuta sababu yoyote ya uongo(scapegoat) ili KUHALALISHA UDHAIFU wake,
Ndicho anachofanya Rais Magufuli na kundi lake!
 
Hapa ndipo wachumi wa BOT na MoF wanapaswa kuumiza vichwa ili kunusuru sekta muhimu za kiuchumi. Na hapa ndipo suala la "stimulus package" linatakiwa liandaliwe kwa hati ya dharura, wala siyo hayo mengine ya kipuuzi ya kuleta mswada bungeni kupitia hati ya dharura ili kuwapa kinga ya kutokushtakiwa wale wote wenye maelekezo maalum ya kufanya udhalimu uovu na kuinajisi katiba ya nchi kwa makusudi na malengo binafsi.
Hapa Tz Covid19 ilinusa tu na imepigwa kumbo. Hata wagonjwa sasa hakuna.
 
WORLD BANK: #Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19.

There are risks for even slower growth if additional policy response is delayed, or the external environment does not improve.

View attachment 1472237

https://t.co/NQx7akuqeK

====

World Bank Economic Analysis Says Tanzania Can Seize Important Opportunities to Mitigate Negative Effects of the COVID-19 Pandemic

DAR ES SALAAM, June 8, 2020 –Notwithstanding Tanzania’s strong growth performance in 2019, a new World Bank report says its economy will also suffer the effects of the COVID-19 (coronavirus) pandemic and global economic crisis.

The World Bank’s 14th Tanzania Economic Update (TEU) forecasts economic growth to slow sharply in 2020, to 2.5 percent from the 6.9 percent growth the government reported in 2019, while recognizing significant uncertainty as the pandemic continues to unfold. The report recognizes mitigating steps government has already taken, and this forecast assumes the authorities will take additional health and economic policy measures to mitigate negative impacts. However, there are downside risks for even slower growth if additional policy response is delayed or not well-targeted, or the external environment does not markedly improve this year.

The TEU analyzes the key transmission channels of the global crisis to the Tanzanian economy, including lower export demand, supply chain disruptions for domestic producers and suppressed private consumption. International travel bans and caution against contracting the virus have severely hurt the tourism sector, which had been one of the fastest-growing sectors in the economy. Tourism operators in the country are now forecasting revenue contractions of 80 percent or more this year, and only a mild recovery next year, conditional on how well global demand rebounds.

Beyond the macro numbers, the analysis says the pandemic is impacting lives and livelihoods. Simulations using the recent Household Budget Survey data released in December 2019 show that the crisis could push 500,000 more citizens below the poverty line, particularly those in urban settings relying on self-employment and informal/micro enterprises.

“The vulnerable people especially those employed in the informal economy are likely to bear the most severe impacts,” says Mara Warwick, World Bank Country Director for Tanzania, Malawi, Zambia and Zimbabwe. “They tend to live in congested settlements with limited access to basic services and they also lack adequate safety nets and have limited savings. Women and women-headed families will be more significantly impacted.”

The report also has a special highlight on the benefits of investing in Tanzania’s digital economy, both to support stronger policy responses to the current crisis as well as boosting the recovery in productivity and job creation. The country has already made good progress in the ICT sector which it can build upon, including the strong network of existing mobile accounts to streamline new cash transfer schemes and widen the coverage of existing social programs. Tanzania also is currently connected to three international undersea cables and, working with the private sector, could harness greater internet capacity to ensure continuity of government and education.

“If the digital economy is to rapidly expand to support the government’s response to the pandemic, there are a number of interventions that need to be considered, including making mobile money and low-value data packages affordable for the poor and removing barriers that currently prevent competitive mobile operators from investing in their own infrastructure,” says Tim Kelly, World Bank Lead Digital Development Specialist.

Source: World Bank Economic Analysis Says Tanzania Can Seize Important Opportunities to Mitigate Negative Effects of the COVID-19 Pandemic
Anguko la Uchumi litazikumba nchi nyingi duniani na si Tanzani pekee kutokana na jangwa la corona
 
Kwa

Kwa anaejua Kiswahili vizuri kwenye ufahamu na ufupisho hii inafupishwa kama ifuatavyo:-
"OLE WENU MSIPOKOPA FEDHA KWETU ie WORLD BANK AU IMF. "
 
Hizi habari ndio unapenda kuzisikia ukiamini Magufuli anakomolewa,shenztypu
 
Ni kweli boss ila si atueleze Yale tusiyoyajua,unamuona mtu anakula alafu unamuambia eti utashiba....
Naona hujasoma vizur. Huyu aliyetoa taarifa hii anashughulika na Tanzania, Zimbabwe na Zambia.
 
Back
Top Bottom