WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

Kenya itakuwa chini ya 1%, upo? Na vyakula mtakuwa hamna na muendelee kututukana vizuri tutaheshimiana tu

Kuna kipindi tulishuka hadi 0% kipindi cha machafuko ya bada ya uchaguzi, la kushangaza wakati huo mlikua chini ya uongozi wa Mkwere na ukuaji wenu ulikua unapaa kwa 8.2% ila hamkufaulu hata kunusia makalio yetu.
 
Kuna kipindi tulishuka hadi 0% kipindi cha machafuko ya bada ya uchaguzi, la kushangaza wakati huo mlikua chini ya uongozi wa Mkwere na ukuaji wenu ulikua unapaa kwa 8.2% ila hamkufaulu hata kunusia makalio yetu.
Unaishi kwa kukariri sio, maisha yanabadirika.
 
Uchumi wetu ulishaharibika sn kwa miaka yote mitano kabla ya corona......
CORONA NI KICHAKA TU CHA SERIKALI HII YA KISHETANI
acha kutuambukiza njaa,.ni.wewe.peke.yako ndiye hujakuwa kiuchumi kwa miaka mitano nakushauri ujitafakari unabugi wapi
 
Benki ya Dunia: Ukuaji wa uchumi wa Tanzania kupungua sana

Benki ya Dunia imekadiria kuwa kutokana na mlipuko wa COVID-19, ukuaji wa uchumi wa Tanzania mwaka huu utapungua sana na kufikia asilimia 2.5 kutoka asilimia 6.9 kama ilivyokadiriwa na serikali mwaka 2019.

Benki ya Dunia imesema uchumi wa Tanzania utaathiriwa na janga la COVID-19 na msukosuko wa uchumi wa dunia.

Ripoti hiyo iliyotolewa na Benki ya Dunia imesema kuwa serikali ya Tanzania imechukua hatua, na inatarajiwa kuendelea kuchukua hatua za ziada za kiafya na kiuchumi, ili kupunguza athari hasi.

Lakini ripoti hiyo, ambayo ni ya 14 ya Benki ya Dunia kuhusu uchumi wa Tanzania, pia imeonya kuwa, kama hatua za ziada zitacheleweshwa au hazitafanya kazi, na kama mazingira ya nje hayataboreka mwaka huu, ukuaji wa uchumi wa Tanzania huenda utapungua zaidi.

Tathmini ya ripoti hiyo ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa janga la COVID-19 limevuruga maisha ya wananchi wa kawaida ambapo imetabiriwa kuwa Watazania nusu milioni wataingia katika kundi la watu wanaoishi chini ya mstari wa umasikini. Watakaoathirika zaidi ni watoto wanaoishi mijini ambao wamejiajiri na wenye biashara ndogo ndogo.

View attachment 1475696

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Wazungu hawahawA walitoa makadirio Kuwa corona itatumaliza Tz na Africa! Wanakuja Tena na upuuzi mwingine! Ngoja mshangazwe Tena na Tz yetu ya Magu ...nyambafu! Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu kwa kishindo... just wait & see!
 
acha kutuambukiza njaa,.ni.wewe.peke.yako ndiye hujakuwa kiuchumi kwa miaka mitano nakushauri ujitafakari unabugi wapi
Sawa sawa.... Nadhani unamaanisha uchumi umekua pale jamhuri ya watu wa chato
 
That's right Tanzania foreign investment dropped for 67 percent since 2016 to date ,what do you expect?
 
So now the recognize the government economic growth projection!!!
Inachekesha sana hawatoo takwimu za ukuaji uchumi wa zambia
Sasa wakupe takwimu za Zambia kwani ww n mzambia? Wazambia watakua wamepewa takwimu zao na ss tumepewa za kwetu , ukihitaji takwimu za Ethiopia nenda ethiopia
 
Back
Top Bottom