World Bank: Tanzania ya 4 Afrika kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA

WB waliwahi kuwaambia Serikali ihakikishe Fedha inazopewa ziende kwenye miradi kweli.
Watu wanaleta Dhiki zao humo humo.
 
Nchi zilizotajwa ni nchi tajiri miongoni mwa mataifa ya Africa rich countries kutokana na kuwa na reserve ya mali asili chekwa.

Lakini wanaingia madeni ya kijinga jinga sababu kuu ikiwa ni ufisadi uliogeuzwa kuwa ni mila na desturi, wateule kula kwa urefu wa kamba zao.
 
Huyu bibi anatupeleka pabaya sana.Na Kwa Sasa ameanza kuwateka na kuwauwa wanaohoji mikopo yake ya hovyo ili yabaki mambumbumbu ambayo hayahoji.
 
Bado ni himilivu - in mvaa bendera voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…