Mwenye haki hajikwai, akijikwaa haanguki,akianguka haumii,na akiumia ni kidogo, Ndivyo ilivyo Tanzania leo
Ningeshangaa, mtu mmoja azuie hitaji la mamilioni ya watu!!!
Tanzania ni nchi moja Nzuri Sana aisee, upendo wa Mungu umetamalaki, nawaza Je hili lingetojea China kule, Je mwenzetu tungelikuwa naye bado""!!? Nawaza tu
Maana hata kama kuna eneo ambalo si sahihi Kwa serikali ilishindikana nini kufanya mazungumzo ili kuboreesha wazo?
Hapo ndipo Tanzania inapojitofautisha na nchi nyiiiingi Sana duniani