nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Habari hiyo ninaisubiri kwenye Gazeti la Uhuru, kesho Aprili 02, 2020. Leo nimekuwa muoga kushangilia habari yoyote. Kutokana na siku yenyewe "siku ya wajinga"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SEQUIP has been designed to enable more adolescent girls and boys to transition to upper secondary education.
Makamanda wamebaki kutapatapa, ha ha ha.Alichotaka Zitto hakijafanikiwa, usipotoshe watu. Zitto kaabika kwa Mara nyingine tena
Aaaah kwakweli ukiwa na mahaba kwa mtu au chama basi upofu unazidi kuongezeka.Ebu lete taarifa ya tofauti inayosema kua WB imekubali kua watoto hao wasiendelee na masomo baada ya kujifungua.Alichotaka Zitto hakijafanikiwa, usipotoshe watu. Zitto kaabika kwa Mara nyingine tena
ifSawa serikali ilisema haisomeshi wajawazito na hapo wamekubali masharti sasa mshindi ni nani?
Sent from my iPhone using JamiiForums