Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Habari hiyo ninaisubiri kwenye Gazeti la Uhuru, kesho Aprili 02, 2020. Leo nimekuwa muoga kushangilia habari yoyote. Kutokana na siku yenyewe "siku ya wajinga"
 
Mwenye haki hajikwai, akijikwaa haanguki,akianguka haumii,na akiumia ni kidogo, Ndivyo ilivyo Tanzania leo

Ningeshangaa, mtu mmoja azuie hitaji la mamilioni ya watu!!!

Tanzania ni nchi moja Nzuri Sana aisee, upendo wa Mungu umetamalaki, nawaza Je hili lingetojea China kule, Je mwenzetu tungelikuwa naye bado""!!? Nawaza tu

Maana hata kama kuna eneo ambalo si sahihi Kwa serikali ilishindikana nini kufanya mazungumzo ili kuboreesha wazo?

Hapo ndipo Tanzania inapojitofautisha na nchi nyiiiingi Sana duniani
 
Hahaha chadema chali tena

Sent using Jamii Forums mobile app
SEQUIP has been designed to enable more adolescent girls and boys to transition to upper secondary education.

It gives pregnant girls, young mothers, and other vulnerable children who leave school early the possibility to return to the formal system and complete their education.

The project tackles the issues facing pregnant girls with an approach informed by civil society organizations and NGOs, in Tanzania and around the world.

Umesoma hiyo ripoti vizuri, soma hicho kipande nimekuwekea hapo utaelewa kama tumesalenda au vipi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mkopo unatoka baada ya serikali kukubali mashart ya WB, na watatoa mkopo kwa mafungu mafungu na kwa kila kipengele kimoja kwisha ndo wanatoa fungu la kipengele cha pili, hoja ya kina Zitto.

Fatuma Karume na wengineo ilikuwa kuishinikiza serikali kukubali wasichana waliobeba mimba kurudi mashuleni baada ya kujifungua na Serikali yetu sikivu imeikubalia WB juu ya hilo hapa nani mshindi?
 
Baada ya sarakasi za kuzuia watoto wa kike waliopata ujauzito kutorudi shule, sasa ni ruksa wanafunzi hao kurudi kuendelea na masomo baada ya kujifungua. ASANTE ZITTO, umewakomboa watoto wa Tanzania.
Screenshot_20200401-085155.png


Bila jitihada za Mh. Zitto, wasichana hao walikuwa wanaenda kukosa fursa hiyo muhimu ya elimu. Asante pia KABUDI kwa kupeleka taarifa ya mkuu huko WB
Screenshot_20200401-085139.png
 
Kumbe harakati zinaendelea chini chini?
 
Kwani ni UzitO wa KabwelA pekee ndio alitaka warudi shule hao vipepeo,

Je kama ni mama samia,ndiye aliyemshauri!? Wajua nini!?

Acha kumsifia huyo Kikaragosi wa Ujerumani....
Mwenye siasa za kukurupuka na kujionyesha..
 
Siasa za hili jukwaa zimekuwa za kijinga mno, na bahati mbaya sana ndio mwelekeo wa siasa pana za nchi hii.
 
Kwani utaratibu wa sasa ukoje, Mwanafunzi akipata mimba anaruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua au anafukuzwa kabisa?

Kama kuna maelewano kuwa waendelee na masomo yao baada ya kujifungua huo ni ushindi mkubwa sana kwa wanaharakati maana Magufuli alisema hasomeshi wazazi ila kwa kibinyo cha World bank atawasomesha tu atake asitake
 
Sawa serikali ilisema haisomeshi wajawazito na hapo wamekubali masharti sasa mshindi ni nani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
if
"..if they wish.." Pana mtego hapo. Anyway, bebesha mimba wakwako arudi shule.
 
Kwa Taarifa Ni kuwa serikali imeiambia Benki ya dunia Sera ya kufukuza wanafunzi wajawazito siyo ya Tanzania. Hata hivyo pesa itaanza kutolewa baada ya uchaguzi was oktoba 2020 kufanyika. Pesa itatolewa kwa mafungu mpaka tathimini ya hela ya awali waridhike
 
Back
Top Bottom