Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Sawa! Issue nipesa kutolewa! Na issue ya pili ni ukipigwa mimba nenda qt au veta.
Hayo mashart mengine yte nimazuri maana yamelenga kulinda mkopo utumike sawasawa.
 
Tanzania ni Dona kantri

Alisikika Jamaa mmoja mwenye walaza akisema
 
Ha ha ha ! Mtapata taabu sana.
 

MASHARTI nayo tuletee!
Dona kantri inafurahia ku-doniwa?

Mabeberu hawatupendi, sisi ni dona kantri, tusikope fedha zao, zetu za ndani zinatutosha.
 
Viraza pekee ndo mnaweza kuwapotosha kwa mabandiko feki km haya,
Watoto hawakuzuiliwa kurudi shuleni! Issue ilikuwa mtoto azae arudi darasani km nidarasa la sita arudi aenderee namtoto wake hilo ndo serikari ilikataa na haijasalim amri! Kusoma wa some ila nikatika mfumo mbadara.
 
Utahangaika sana bwana kada, mkuu wako amebend over na bakuli lake ili na wewe buku saba zako zusikosekane
 
Mungu niwapekee sana! Ndani ya gonjwa la corona nchi inazidi kubarikiwa.
Shetani hajawahi kumshida mungu.
Bunge linavunjwa tunabaki wte raia.
Huku corona , huku maandarizi ya uchaguzi.
Haha ha ha ha ccm itasukuma mlevi km namuona vile cdm
 
Mungu niwapekee sana! Ndani ya gonjwa la corona nchi inazidi kubarikiwa.
Shetani hajawahi kumshida mungu.
Bunge linavunjwa tunabaki wte raia.
Huku corona , huku maandarizi ya uchaguzi.
Haha ha ha ha ccm itasukuma mlevi km namuona vile cdm
 
Sijapenda hii kauli "the world Bank fund for the poorest countries"
 
Mleta uzi hajui kama watu walisalimu amri ndiyo mana wamepewa mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlaumu, huenda lugha ya malkia ni tatizo kwake! Kwa mkopo huu ni ruksa kwa wasichana waliobeba mimba kurudi tena shuleni katika mfumo rasmi (formal education) na kumalizia masomo yao! Acha tukubali yaishe!!
 
Asante kwa kuwaelimisha wana Lumumba shida ni shule mzee.
 
Tafasiri paragraph hiyo kwa kiswahili ili kila MTU aelewe!!. Hawa wazungu bwana, kitu chenyewe ni mkopo na si msaada halafu wanalazimisha kina mama waliojifungua warudi kwenye mfumo rasmi Wa shule (formal education) ili wamalizie masomo yao. Ok acha tukubali kwa hapo mambo yaishe ila wasiende mbali zaidi kutulazimisha kukubaliana na uchafu Wa usenge (wao wanawaita LGBT community!).
 

Ila kile alichopigania kimezingatiwa, " .......and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education.”
 
Zitto mnafiki mkubwa rais was awamu ya nne alisema wanafunzi wa like wanapata mimba kwa viherehere vya hatukusikia kelrle yoyote toka kwake badala yake alikuwa akiandamana naye kwanini Sasa hivi ndio anaona serikali haiko sahihi
 
Mkopo lilikuwasiyo tatizo, tatizo ilikuwa ama tusomeshe wajawazito au waendelee na shule baada ya kujifungua.

Sasa tuambizane kuna sharti au hakuna kwenye mkopo?!
Wakikujibu nijulishe mkuu
 
Kidhungu wanajua kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…