Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Tatizo ni ili upate buku 7 shame on you.Makamanda wamebaki kutapatapa, ha ha ha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni ili upate buku 7 shame on you.Makamanda wamebaki kutapatapa, ha ha ha.
Sishangai Rais Magu kuwabania watoto wa kike Wasukuma wana mfumo dume hatari.
Yaani leo makamanda hatujafurahishwa na hii habari kabisa.Tatizo ni ili upate buku 7 shame on you.
Mkishanasaga huwa mnahangaika sana... ALiyesema wazi ni Zitto, kama kuna mwingine aliesema mafichoni hata wewe utamjuaje? KWENYE UKWELI MSEMEKwani ni UzitO wa KabwelA pekee ndio alitaka warudi shule hao vipepeo,
Je kama ni mama samia,ndiye aliyemshauri!? Wajua nini!?
Acha kumsifia huyo Kikaragosi wa Ujerumani....
Mwenye siasa za kukurupuka na kujionyesha..
Kumbe alikuwa anatafutwa MSHINDI? Binafsi naona MSHINDI ni yule aliyepata sio yule aliyeshawishi zisitokeSawa serikali ilisema haisomeshi wajawazito na hapo wamekubali masharti sasa mshindi ni nani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pesa ititoka baada ya ichaguzi,hapo napo Zitto hajafanikiwa?Alichotaka Zitto hakijafanikiwa, usipotoshe watu. Zitto kaabika kwa Mara nyingine tena
Aliyeaibika hapa ni nani ?! Yule aliyeapa kule simiyu kwamba hawezi kusomesha wazazi, au huyu aliyepigania wakubaliwe kuendelea na masomo baada ya kuzaa ??!!. .Alichotaka Zitto hakijafanikiwa, usipotoshe watu. Zitto kaabika kwa Mara nyingine tena
Serikali imeendelea na msimamo wake. Hoja ya serikali imebaki kuwa zipo changamoto zinazopelekea mabinti kupata mimba ambapo katika kukabiliana nazo rasilimali fedha zinahitajika hivyo watoe mkopo huo. Mwisho wa siku ikakubali!Baada ya sarakasi za kuzuia watoto wa kike waliopata ujauzito kutorudi shule, sasa ni ruksa wanafunzi hao kurudi kuendelea na masomo baada ya kujifungua. ASANTE ZITTO, umewakomboa watoto wa Tanzania.View attachment 1405624
Bila jitihada za Mh. Zitto, wasichana hao walikuwa wanaenda kukosa fursa hiyo muhimu ya elimu. Asante pia KABUDI kwa kupeleka taarifa ya mkuu huko WB
View attachment 1405625
Siyo ya Tanzania, ila inafanya kazi Tanzania..!!Kwa Taarifa Ni kuwa serikali imeiambia Benki ya dunia Sera ya kufukuza wanafunzi wajawazito siyo ya Tanzania. Hata hivyo pesa itaanza kutolewa baada ya uchaguzi was oktoba 2020 kufanyika. Pesa itatolewa kwa mafungu mpaka tathimini ya hela ya awali waridhike
Hivi wanaccm nani kawaroga?? Serikali imekubali masharti ya Zitto kwa asilimia 100Alichotaka Zitto hakijafanikiwa, usipotoshe watu. Zitto kaabika kwa Mara nyingine tena
Msipotoshe watu wapi wameandika kuwa serikali imekubali hayo masharti.Baada ya sarakasi za kuzuia watoto wa kike waliopata ujauzito kutorudi shule, sasa ni ruksa wanafunzi hao kurudi kuendelea na masomo baada ya kujifungua. ASANTE ZITTO, umewakomboa watoto wa Tanzania.View attachment 1405624
Bila jitihada za Mh. Zitto, wasichana hao walikuwa wanaenda kukosa fursa hiyo muhimu ya elimu. Asante pia KABUDI kwa kupeleka taarifa ya mkuu huko WB
View attachment 1405625
Kama matakwa ya Zitto yamezimgatiwa basi ni win win situation!Kumbe alikuwa anatafutwa MSHINDI? Binafsi naona MSHINDI ni yule aliyepata sio yule aliyeshawishi zisitoke
Fedha zonatoka lini?Kama baada ya uchaguzi inamaana hoja mojawapo ya Zitto imepenya kuwa Serikali isipewe fedha hizo kabla ya uchaguzi!Serikali imeendelea na msimamo wake. Hoja ya serikali imebaki kuwa zipo changamoto zinazopelekea mabinti kupata mimba ambapo katika kukabiliana nazo rasilimali fedha zinahitajika hivyo watoe mkopo huo. Mwisho wa siku ikakubali!
Kipande mlicho kiweka hapo ni cha zamani benki ya dunia ikisema itaendelea kujadiliana na serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau ili mabinti wapatapo mimba wasisitishwe masomo pamoja na kutoa elimu juu ya mila na desturi hasi dhidi ya mabinti wanaopata mimba wawapo shule.
Kiufupi Zitto na wenzake wamepigwa KO!
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamanda watakua wanamuonea wivu Mh.Zitto Kabwe maana wao walishindwa kumtetea mtoto wa kike spate elimu .Wakati mwingine Mh.Zitto anafanya mambo mazito kuliko wote waliopo Ikulu aisee.Yaani leo makamanda hatujafurahishwa na hii habari kabisa.
Kuwasikiliza hawa makamanda uchwara na Zitto wao ni kupoteza muda tu. Waache kama walivyo.Msipotoshe watu wapi wameandika kuwa serikali imekubali hayo masharti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo WHO wanaandika kwa Lugha ya Kiingereza ndugu,sasa apo wewe kuelewa mpaka upate labda mkalimani.Msipotoshe watu wapi wameandika kuwa serikali imekubali hayo masharti.
Sent using Jamii Forums mobile app