Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Yaliyopita si ndwele na huu sio mda wa kushikana mchawi nani, muhimu ni kujua mchanganuo wa hizo hela na matumizi yake kwa ujumla na jinsi utakavyoleta tija kwa taifa
 
"World Bank’s fund for the poorest countries" alafu Meko anaita wenzake vilaza...futa umasikini ndio PHD yako itakuwa na thamani...
 
Poor mind, badala ya kuleta options za tutoke vipi kama Taifa kuweza ku mobilize resources zetu kujikwamua eti tukae kumlaumu mtu kwa sababu ya msaada wa nje.
Hopeless comment ever!
 
Hivi kwanini nyie watu kila anayepinga mipango ya yule mzee mnaona ana chuki?! Acheni ushamba nyinyi... mtakuwa watu wa ajabu sana kama mnataraja kila mmoja ampigie makofi hata kwa mambo ya hovyo!!

Btw, NDIYO tulikuwa tunafurahia kwa sababu mipango ya JPM na CCM yake ni ya ubaguzi, na leo hapo WB wametoa mkopo kwa kuangalia matakwa ya akina Zitto na sio matakwa ya JPM na Utawala wake!
Siyo kila anayepinga, bali ni wale wanapinga kichawi kama Zito, Tundu Lisu, nk! Hawa hata kama hawavui nguo usiku kwenda kuloga, ni wachawi wa maendeleo ya nchi yetu! Na bahati mbaya yao...wataendelea kuaibika tu, Mungu azidi ibariki awamu ya tano na nchi yetu, amen!
 
Magonjwa Mtambuka,
kwa taarifa yako ni kuwa ni Zitto na wenzake ndiyo waliolazimisha serekali iufyate na kukubali sharti kuwa watoto waliobeba mimba watarejeshwa shule baada ya kujifungua, siyo ile "alternative pathway" rubbish ya MATAGA..... soma hapa chini


Endelea kuumia tu mkuu ujinga wenu umekwama! Mlitegemea pesa hizo zipitie kwenye vi NGO vyenu lakini mmekwama mmeangukia pua! Poleni sana!
 
Baada ya sarakasi za kuzuia watoto wa kike waliopata ujauzito kutorudi shule, sasa ni ruksa wanafunzi hao kurudi kuendelea na masomo baada ya kujifungua. ASANTE ZITTO, umewakomboa watoto wa Tanzania.View attachment 1405624

Bila jitihada za Mh. Zitto, wasichana hao walikuwa wanaenda kukosa fursa hiyo muhimu ya elimu. Asante pia KABUDI kwa kupeleka taarifa ya mkuu huko WB
View attachment 1405625
Mmefeli na Vi NGO vyenu mlitaka kupiga pesa wizi wakubwa!
 
Hongera tanzania, hongera jpm, hongera kabudi, cku zte shetani hawezi mshinda mtu wa mungu mvumilivu na mcha mungu!

Tukutane kampeni za october.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Siyo za jukwaa hili tu, siasa za nchi nzima zimekuwa za kipumbavu hivyo hivyo.

Na haya ni matokeo ya upuuzi kuwa sifa ya uongozi.

Werevu wakikaa kimya wapumbavu hutamba.
Siasa za hili jukwaa zimekuwa za kijinga mno, na bahati mbaya sana ndio mwelekeo wa siasa pana za nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila anayepinga, bali ni wale wanapinga kichawi kama Zito, Tundu Lisu, nk! Hawa hata kama hawavui nguo usiku kwenda kuloga, ni wachawi wa maendeleo ya nchi yetu! Na bahati mbaya yao...wataendelea kuaibika tu, Mungu azidi ibariki awamu ya tano na nchi yetu, amen!
Kwa kuangalia mjadala huu, alisema wazi kwamba kuzuia watoto waliopata ujauzito ni kuwabagua, na kwahiyo sio sahii WB kutoa mkopo utakaobagua hususani watoto wa maskini!

Now tell me: Hivi unaamini kabisa mtoto angalau wa mtumishi anayelipwa Laki 5 kwa mwezi atashindwa kuendelea na masomo kisa kapata ujauzito?!

Hivi unaamini kabisa mtoto wa mfanyabiashara mwenye uwezo wake anaweza kushindwa kuendelea na elimu ya sekondari wakati private schools zimejaa kila kona?!

In contrast, hivi unaamini kabisa mtoto wa maskini kule kijijini akipata uja uzito wazazi wake watakuwa na uwezo wa kumpeleka private school kama wanavyoweza kufanya wazazi wengine wenye kipato?!

Ina maana hadi hapo hujaona umuhimu wa hoja ya akina Zitto na Wanaharakati wengine?!

Hilo la Tundu Lissu nimeshaliongea sana hadi naona uvivu kurudia rudia lakini itoshe tu kusema kwamba, dana dana za Acacia zilikuwa nyingi kwa sababu serikali haikutaka kumsikiliza Lissu!!

Wakati hoja ya msingi ya Lissu ilikuwa kama kweli unataka kupambana na multinational companies basi serikali ijiondoe kwanza kwenye mikataba ya kimataifa inayowalinda sana foreign investors kuliko host countries, wafuasi wa Magu waka-twist na kusema TL amesema serikali iki-deal na Acacia tutapelekwa mahakamani huku wakitamba mbona hawatupeleki basi!!

Swali ambalo mara zote nimekuwa nikiuliza bila kupaat jibu ni kipi kitakachowafanya Acacia watupeleke kwenye mazingira yaliyopo!!

Tulisema tunawadai matrioni ya shilingi, hadi kesho hata senti tano haijatoka na HAITATOKA!!

Wenyewe wakaahidi watatoa kishika uchumba cha USD 300M lakini hadi kesho hadi senti 5 haijatoka!! Hii inaweza kutoka lakini itatoka kwa kuangalia masharti waliyoweka jambo ambalo ndilo linafanya hadi sasa wasiwe wametoa hata sent moja kwa sababu hatujatekeleza masharti yao!

Sasa kwanini Acacia walileta danadana zote hizo?! Kwa sababu walijua hatuwezi kuwafanya chochote wakati wanalindwa na Mikataba ya Uwekezaji! Lakini kama serikali ingejitoa MiGA (ambayo pia ni risk), Acacia wasingefanya danadana kwa sababu wangefahamu wasingekuwa na kwa kukimbilia!!
 
Ila mambo yatakuwahivi.
mgao 1.png
 
Back
Top Bottom