Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukue 10000, mwenzako kawe almun amekataa kutumika dau digoMakamanda wamebaki kutapatapa, ha ha ha.
Mkopo umetoka au haukutoka kamanda?Kachukue 10000, mwenzako kawe almun amekataa kutumika dau digo
Hopeless comment ever!Poor mind, badala ya kuleta options za tutoke vipi kama Taifa kuweza ku mobilize resources zetu kujikwamua eti tukae kumlaumu mtu kwa sababu ya msaada wa nje.
Watoto walioshika mimba wataendelea kusomaMkopo umetoka au haukutoka kamanda?
Siyo kila anayepinga, bali ni wale wanapinga kichawi kama Zito, Tundu Lisu, nk! Hawa hata kama hawavui nguo usiku kwenda kuloga, ni wachawi wa maendeleo ya nchi yetu! Na bahati mbaya yao...wataendelea kuaibika tu, Mungu azidi ibariki awamu ya tano na nchi yetu, amen!Hivi kwanini nyie watu kila anayepinga mipango ya yule mzee mnaona ana chuki?! Acheni ushamba nyinyi... mtakuwa watu wa ajabu sana kama mnataraja kila mmoja ampigie makofi hata kwa mambo ya hovyo!!
Btw, NDIYO tulikuwa tunafurahia kwa sababu mipango ya JPM na CCM yake ni ya ubaguzi, na leo hapo WB wametoa mkopo kwa kuangalia matakwa ya akina Zitto na sio matakwa ya JPM na Utawala wake!
Umeumia sana?Post za hii siku ya leo ni lazima kuwa nazo makini [emoji2]
Jr[emoji769]
Magonjwa Mtambuka,
kwa taarifa yako ni kuwa ni Zitto na wenzake ndiyo waliolazimisha serekali iufyate na kukubali sharti kuwa watoto waliobeba mimba watarejeshwa shule baada ya kujifungua, siyo ile "alternative pathway" rubbish ya MATAGA..... soma hapa chini
Ulitaka wasiendelee, au?Watoto walioshika mimba wataendelea kusoma
Mmefeli na Vi NGO vyenu mlitaka kupiga pesa wizi wakubwa!Baada ya sarakasi za kuzuia watoto wa kike waliopata ujauzito kutorudi shule, sasa ni ruksa wanafunzi hao kurudi kuendelea na masomo baada ya kujifungua. ASANTE ZITTO, umewakomboa watoto wa Tanzania.View attachment 1405624
Bila jitihada za Mh. Zitto, wasichana hao walikuwa wanaenda kukosa fursa hiyo muhimu ya elimu. Asante pia KABUDI kwa kupeleka taarifa ya mkuu huko WB
View attachment 1405625
Siasa za hili jukwaa zimekuwa za kijinga mno, na bahati mbaya sana ndio mwelekeo wa siasa pana za nchi hii.
Makamanda wamebaki kutapatapa, ha ha ha.
Kwa kuangalia mjadala huu, alisema wazi kwamba kuzuia watoto waliopata ujauzito ni kuwabagua, na kwahiyo sio sahii WB kutoa mkopo utakaobagua hususani watoto wa maskini!Siyo kila anayepinga, bali ni wale wanapinga kichawi kama Zito, Tundu Lisu, nk! Hawa hata kama hawavui nguo usiku kwenda kuloga, ni wachawi wa maendeleo ya nchi yetu! Na bahati mbaya yao...wataendelea kuaibika tu, Mungu azidi ibariki awamu ya tano na nchi yetu, amen!
Hii habari mbaya sana kwetu leo kamanda. Inabidi tujifarague tu kamanda. Inauma lakini inabidi tuzoee.
Mzee wa ova.