Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Uchaguzi 2020 World Bank yapitisha Mkopo wa Zaidi ya Trillion 1 Uliopingwa na Wanasiasa pamoja na Wanaharakati

Umeelewa kilichoandikwa kwenye barua ya WB!?
Nenda kwa Ras Simba tafadhali,halafu ndio urudi kujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mbulula kama wewe unakaririshwa na kuropoka hovyo. Alafu pia mimi sio wa kusoma ngeli sehemu kama hiyo,jiheshimu.
Angalia star tv upate kweli msimamo wa serikali ukoje Dr Abbas anafafanua.
 
Unafikiri WB wanainyima Tanzania ? Huu ni Mkopo ni Biashara kwa WB wanapata faida tutalipa kwa riba.

Wanaharakati walitaka matumizi mazuri ya Mkopo ambao Watanzania ndio wataulipa kwa kodi zao.

WB imetoa jana 14 billion kwa nchi tofauti kupambana na Corona. Hizi sio mkopo za bureee lakini Tanzania hatukupewa!

Sasa ujue hawa WB vya bure hawatupi ila mikopo watatoa kwani ni biashara kwao


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Chige,
Nafikiri kinachatakiwa waachie huo mkopo tudhibiti tatizo la mimba za utotoni kwa kuboresha mazingira ya kusomea watoto wa kike! Tuwajengee mabweni, na kubakikisha basic needs wanazipata wakiwa ndani ya wigo wa shule maana kwa bahati nzuri hao watoto wa masikini hawatalipa karo!

Zito alishadadia kuzuia mkopo wakati serikali ilitaka mkopo ikiwa na mtazamo wa mbali sana wa kupunguza kama sio kuondoa kabisa tatizo maana, kitu ambacho hukijui au unakipuuza, tatizo la kukosa elimu ktk mfumo rasmi kwa hawa watoto wanaokuwa wazazi ni dogo sana ukilinganisha na madhara ya kisaikologia na kibiologia yanayompata mzazi huyu!

Kwa hiyo ili kumnusuru mtoto wa kike, siyo kulazimisha apate mimba aendelee na mfumo rasmi wa elimu...kama vipi mkate rufaa ili na matatizo hayo ya kisaikologia na kibiologia nayo yasiwepo! Ni mtazamo finyu sana kufikiri kulazimishia waendelee na shule ni kumsaidia!

Cha msingi ni kuzuia haya mambo yasitokee kabisa!! Na kama huyo Zito wako alikuwa na nia njema na watoto hao wa kike asingekwenda kuzuia mkopo huo kwa kupeleka uongo!
 
residentura,
Eti siandiki kwa hisia! Taifa haliendeshi kwa utamaduni? Unasemaje? usijaribu kupuuza umuhimu wa utamaduni katika kuendesha nchi!

Anyway, utakapokua utajua! Naona unakariri miongozo iliyoandaliwa kimbulula na kuimeza kama ilivyo kwa kukariri bila kujari mapungufu yake!
 
Hero,
ujenzi wa mabweni hasa kwa shule za kata ndiyo solusheni iliyobaki,inaweza isimalize tatizo kwa 100% ila ikalipunguza tatizo la mimba kwa hata 40%
 
Chige,
Unafanya kazi ngumu kureason na watu ambao clearly hawana nia au uwezo wa kureason.

Sera ya serikali ipo toka 2009, lakini mtu anamuona Zitto tu. Kama sio siasa muflisi ni nini?

Tanzania ya sasa kuna watu wanaona kuweza kutangaza mafanikio ya serikali ni muhimu kuliko mafanikio yenyewe.
 
NI kweli, Mwanasiasa haaminiki, na WB wanalifahamu hilo ndio maana hawakutaka kutoa pesa zote kwa mkupuo, na badala yake wanatoa kwa mafungu ili kusikiliizia ikiwa serikali inatekeleza masharti ya mkopo!!
Ni mjinga pekee anaeamini kwamba wanafunzi wanaopata ujauzito watarudi darasani kama kawaida!

Kwa Tanzania ukishapata mimba ndio kwa heli labda urudi QT au urisiti. Kama unabisha nioneshe hapo kabla ilikuwaje na wangapi walirudi kuendelea na masomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mjinga pekee anaeamini kwamba wanafunzi wanaopata ujauzito watarudi darasani kama kawaida!

Kwa Tanzania ukishapata mimba ndio kwa heli labda urudi QT au urisiti. Kama unabisha nioneshe hapo kabla ilikuwaje na wangapi walirudi kuendelea na masomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe upo kundi gani kama sio la hao wajinga?! Mwongozo wa serikali unasema wazi kwamba mtoto akipata ujauzito anapewa chance moja ya kuwa re-admitted! Sasa wewe unapinga... kama si ujinga tuite nini?!

Usilete habari za sijui ni wangapi walirudi, issue mwongozo na sheria zinasemaje!!
 
Chige, Dada acha hasira! Wewe waachie tu watoto wako wagongwe wapate mimba ila kaa ukijua ukileta pua yako kutaka aendelee na masomo utatolewa baru na huna la kufanya na hata hao WB hawana la kufanya.

Au jipange kumpleka kwa watu wazima wenzie akasome QT au arisiti mtihani kama pravite candidate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada acha hasira! Wewe waachie tu watoto wako wagongwe wapate mimba ila kaa ukijua ukileta pua yako kutaka aendelee na masomo utatolewa baru na huna la kufanya na hata hao WB hawana la kufanya. Au jipange kumpleka kwa watu wazima wenzie akasome QT au arisiti mtihani kama pravite candidate.

Sent using Jamii Forums mobile app
We cho'ko jibu nilichokuuliza mbwa wewe!!! Kama huna jibu piga kimya, au kaombe msaada kwa mabasha wako wanaokufanya uanze kukashifu watu!

Halafu ona ulivyo mpumbavu! WB hawana cha kufanya wakati mabasha wako washaufyata?! We bwegwe kweli...
 
Unafanya kazi ngumu kureason na watu ambao clearly hawana nia au uwezo wa kureason.
Sera ya serikali ipo toka 2009, lakini mtu anamuona Zitto tu. Kama sio siasa muflisi ni nini?
Tanzania ya sasa kuna watu wanaona kuweza kutangaza mafanikio ya serikali ni muhimu kuliko mafanikio yenyewe.
Ni Zito ndie aliyetaka na hata sasa anataka tusipewe mkopo huku akijua kufanya hivyo ni kudhoofisha jitihada za serikali kuondoa kama sio kupunguza tatizo la mimba! Ana vivu wa kipuuzi, hataki kuona Magu na serikali anayoiongoza wanaendelea kupata 'credit' kwa kutatua matatizo yaliyokuwa yameshazoeleka na kuaminishwa kuwa hayana ufumbuzi!

Hizi ndio siasa mufilisi ni hizo za Zito na nyie mnaofuata mkumbo bila kujua madhara yatokanayo na upuuzi huo! Kwa ufikiri duni huo walitengeneza mwongoza wa kizembe wa kulikumbatia tatizo kwa kuwaruhusu watoto wanaobeba mimba kuendelea na shule badala ya kuweka nguvu kwenye kutatua tatizo lenyewe kwa kuviondoa vishawishi vinavyopelekea mabinti hawa kurubuniwa!

Awamu hii imejawa na watu wasiowavivu kufikiri kwa kina na kuja na umbuzi wa kudumu kwa matatizo mengi ya kijamii! Mojawapo elimu bure, kifuatacho ni kuboresha mazingira yanayopunguza kama sio kundoa kabisa vishawishi vya mimba!

Zito kama mtumishi wa ibirisi anatumia kila njia kuhakikisha mimba zinaongezeka kwa kuweka pingamizi la kupata mkopo lengo likiwa ni kudunisha mazingira ya shule na hivyo kupelekea vishawishi kuongozeka!
 
Na wewe upo kundi gani kama sio la hao wajinga?! Mwongozo wa serikali unasema wazi kwamba mtoto akipata ujauzito anapewa chance moja ya kuwa re-admitted! Sasa wewe unapinga... kama si ujinga tuite nini?!

Usilete habari za sijui ni wangapi walirudi, issue mwongozo na sheria zinasemaje!!
Wajinga ni walioandaa mwongozo wenyewe wa kijinga na ninyi mnaoshabikia!
 
Shirika la kutetea haki za binadamu HRW limeikosoa bank ya dunia kwa kuidhinisha kutoa mkopo wa dola 500 sawa na tirioni moja za kitanzania.
Ambazo zimetolewa kwa ajili ya kuboresha mpango wa elimu ya sekondari.

Aidha rais Magufuli amesisitiza kuwa wanafunzi waliopata mimba wakiwa shuleni hawatarejea kwenye mfumo wa elimu wakati wote ambao yeye atakuwa madarakani

More info....DW
 
Zitto anateseka sana awamu hii, alichekesha na kukera jamii ya wanamitandao pale alipojaribu kuleta fitina kati ya Prof Janabi na Serikali ya awamu ya tano.

Ni msomi mwenye kuufahamu ustaarabu lakini hii hulka ya kupenda fitina za chini chini inamfanya aonekane kama wale jamaa wanaopaa na ungo usiku.
 
Egnecious,
Unayasema haya ukiwa hujasoma hata masharti yakiyoambatana na utolewaji wa hayo mabilioni. Ushabiki ni utumwa...
 
Poor mind, badala ya kuleta options za tutoke vipi kama Taifa kuweza ku mobilize resources zetu kujikwamua eti tukae kumlaumu mtu kwa sababu ya msaada wa nje.
Wewe ndio mwenye poor mind, ELIMU KWA MTOTO ni kati ya vitu ambavyo haviwezi kusubiri.

Wakati unajimoblize, hao watoto waliotakiwa waende primary na secondary umri wao unapita... Elimu haisubiri. Mtoto wa form one hawezi kusubiria walau miaka mitatu ili tujimoblize eti ndio aende shule!.

Kuna vitu vinaweza kusubiri tujimobilize ILA sio Elimu. THINK BIG...THINK OUT OF THE BOX acha kuwa na mawazo mgando
 
Back
Top Bottom