Thanks man... tupo pamoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks man... tupo pamoja!
Mimi sio mbulula kama wewe unakaririshwa na kuropoka hovyo. Alafu pia mimi sio wa kusoma ngeli sehemu kama hiyo,jiheshimu.Umeelewa kilichoandikwa kwenye barua ya WB!?
Nenda kwa Ras Simba tafadhali,halafu ndio urudi kujadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mjinga pekee anaeamini kwamba wanafunzi wanaopata ujauzito watarudi darasani kama kawaida!NI kweli, Mwanasiasa haaminiki, na WB wanalifahamu hilo ndio maana hawakutaka kutoa pesa zote kwa mkupuo, na badala yake wanatoa kwa mafungu ili kusikiliizia ikiwa serikali inatekeleza masharti ya mkopo!!
Na wewe upo kundi gani kama sio la hao wajinga?! Mwongozo wa serikali unasema wazi kwamba mtoto akipata ujauzito anapewa chance moja ya kuwa re-admitted! Sasa wewe unapinga... kama si ujinga tuite nini?!Ni mjinga pekee anaeamini kwamba wanafunzi wanaopata ujauzito watarudi darasani kama kawaida!
Kwa Tanzania ukishapata mimba ndio kwa heli labda urudi QT au urisiti. Kama unabisha nioneshe hapo kabla ilikuwaje na wangapi walirudi kuendelea na masomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We cho'ko jibu nilichokuuliza mbwa wewe!!! Kama huna jibu piga kimya, au kaombe msaada kwa mabasha wako wanaokufanya uanze kukashifu watu!Dada acha hasira! Wewe waachie tu watoto wako wagongwe wapate mimba ila kaa ukijua ukileta pua yako kutaka aendelee na masomo utatolewa baru na huna la kufanya na hata hao WB hawana la kufanya. Au jipange kumpleka kwa watu wazima wenzie akasome QT au arisiti mtihani kama pravite candidate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Zito ndie aliyetaka na hata sasa anataka tusipewe mkopo huku akijua kufanya hivyo ni kudhoofisha jitihada za serikali kuondoa kama sio kupunguza tatizo la mimba! Ana vivu wa kipuuzi, hataki kuona Magu na serikali anayoiongoza wanaendelea kupata 'credit' kwa kutatua matatizo yaliyokuwa yameshazoeleka na kuaminishwa kuwa hayana ufumbuzi!Unafanya kazi ngumu kureason na watu ambao clearly hawana nia au uwezo wa kureason.
Sera ya serikali ipo toka 2009, lakini mtu anamuona Zitto tu. Kama sio siasa muflisi ni nini?
Tanzania ya sasa kuna watu wanaona kuweza kutangaza mafanikio ya serikali ni muhimu kuliko mafanikio yenyewe.
Wajinga ni walioandaa mwongozo wenyewe wa kijinga na ninyi mnaoshabikia!Na wewe upo kundi gani kama sio la hao wajinga?! Mwongozo wa serikali unasema wazi kwamba mtoto akipata ujauzito anapewa chance moja ya kuwa re-admitted! Sasa wewe unapinga... kama si ujinga tuite nini?!
Usilete habari za sijui ni wangapi walirudi, issue mwongozo na sheria zinasemaje!!
Wewe ndio mwenye poor mind, ELIMU KWA MTOTO ni kati ya vitu ambavyo haviwezi kusubiri.Poor mind, badala ya kuleta options za tutoke vipi kama Taifa kuweza ku mobilize resources zetu kujikwamua eti tukae kumlaumu mtu kwa sababu ya msaada wa nje.