World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

he he he he 2 HOME RUNS...OOOPS GOALS DOWN.............soccer kweli ngumu....
 
ndio ubaya wa kusema timu fulani ni easy.walisema mwanzo kwamba algeria na slovenia ndio vibonde wao sasa wanajuta.


na ngoma inaweza kulala si unakumbuka walivyowabania wa russia goli?

Kidogo kunaweza kukawa na ukweli, kwamba waliwadharau na hivo hawakujiandaa na game plan yeyote. Kwene game na England walikuwa na game plan ya ku-defend vizuri na ku-attack kwa kushtukiza. Leo wameingia na kujidhania wao ndio watakuwa wanakabwa, kumbe loh, hamna kitu bana.
 
Mie hata leo usku sitashangaa kama Algeria akifanya nae maajabu haya ya mussa!! duh Hivi itakuwaje vigogo vya dunia vikitupwa kwenye first round??! Sipati picha kabisa!..Spain..France..Germany..England etc!
 
Its half Time n the score stands at Slovenia 2 USA 0!

Jamaa wamechemka ile mbaya
 

Yule ni Muhamiaji wa Ufaransa lakini Kazaliwa na makuzi yote Algeria! kwahiyo ni mtoto wa kiafrica tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…