World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

jamaa limeenda kujaribu kukung'uta shuti bila sababu wakati kulikua na mtu kulia katanua peke yake.
 
Algeria inabidi ijiangalie na Oscar winning simulations za akina Gerard.
 
Mpira kama ungekuwa unachezwa kwenye vyombo vya habari England wangekuwa wanaongoza 4-0 mpaka dakika hii..Lakini ktk hali halisi hadi dakika hii hawana shot on goal
 
Algeria wanaanza kuchoka....concentration inashuka.....
 
Hawa jamaa waliwafunga Egypt hivi hivi... Si wa kudharau pia
algeria wanakiputa sana wakicheza mechi na waafrica ,kwa mfano hio na Egypt walipiga mpira kinoma ndio maana nilikuwa nawategemea huku kwenye world cup.Sasa world ndio hii naona vitu viwili tofauti au mambo ya migogoro kwenye timu yao iliokuwa inaendelea ime wa-cost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…