Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Mpambano wa hovyo hadi dakika hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna dalili za England kufanya maajabu kwenye mechi hii mkuu. Naombea wafungwe tu!Mpambano wa hovyo hadi dakika hii
Hakuna dalili za England kufanya maajabu kwenye mechi hii mkuu. Naombea wafungwe tu!
Hakuna dalili za England kufanya maajabu kwenye mechi hii mkuu. Naombea wafungwe tu!
Hawa jamaa waliwafunga Egypt hivi hivi... Si wa kudharau piaAlgeria inabidi ijiangalie na Oscar winning simulations za akina Gerard.
Kipa wao wa mechi ya mwanzo leo anausugua benchi sio, haa ha.@MN,
England leo naona wameamua kumtumia David James, basi ushindi kwa England unaonekana kuwa bayana, ni kipa mzuri
Ila Jamaani Bondeni Kutamu Chek taswira Murua kabisa!
Algeria hawana kiwango, hata England wakiwa na bad in office watashinda tu eventually.Hakuna dalili za England kufanya maajabu kwenye mechi hii mkuu. Naombea wafungwe tu!
algeria wanakiputa sana wakicheza mechi na waafrica ,kwa mfano hio na Egypt walipiga mpira kinoma ndio maana nilikuwa nawategemea huku kwenye world cup.Sasa world ndio hii naona vitu viwili tofauti au mambo ya migogoro kwenye timu yao iliokuwa inaendelea ime wa-cost.Hawa jamaa waliwafunga Egypt hivi hivi... Si wa kudharau pia
Watoto wa Charles wamekuwa sana siku hizi.Kwa nini tena mkuu?...Cheki mpaka watoto wa 'umalkia' wametia timu kusupport...
![]()