Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Mkuu sina imani na Nigeria; huwa wana makosa ya kipuuzi, sometimes unaweza kuibamiza TV kwa unazi na Nigeria!Greece mwaka huu ni wabovu tu, hata kwenye mechi za kirafiki alifungwa na South Africa this June. Kama watamkosa Mkorea basi tena hawapati kibonde ktk kundi hili.
Greece mwaka huu ni wabovu tu, hata kwenye mechi za kirafiki alifungwa na South Africa this June. Kama watamkosa Mkorea basi tena hawapati kibonde ktk kundi hili.
Majina haya kiboko hata kuandika
mmemwona dogo wetu Man U?
mmemwona dogo wetu Man U?
Sina mbavu mie hahahahahaNyie watani wetu mnakazi kweli kweli.Sasa humu ya Man U yametokea wapi?
Hapa ni South Korea bwana.EPL iliisha na subirini mwakani mjaribu tena.
Hahahaha SUPU YA MAWE!South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.