World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.

Hawa mabwana wana ujasiri wa mchwa aisee.
Physical fitness yao najua kiboko kweli maana kuna umilitary flani in most aspects
of their lives based on their issue with North Korea.Nimekubali so far.
 
Mechi inayofuata Korea atacheza na Argentina; nahisi mechi itakuwa ngumu sana (17th June)
 
Greece waandike maumivu, nshaona ni wa kuondoka wakisindikizana na Nigeria hahahaha
 
dont underestimate S.KOREA mkuu............

mkuu wala si-underestimate S.Korea, ila Argentina ni zaidi ya Korea. Na ninaamini 9ja hawatakubali kufungwa na Greece ndiyo maana ninasema kama watakosa (which is most likely) Greece watatoka na point 0.
 
Wamekunywa supu ya PWEZA ndio maana wana "nguvu."

South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.
 
Hawa mabwana wana ujasiri wa mchwa aisee.
Physical fitness yao najua kiboko kweli maana kuna umilitary flani in most aspects
of their lives based on their issue with North Korea.Nimekubali so far.

sana tu mkuu huwa wana nishangaza sana.yule Park epl watu wanapiga buti sana lakini wapi kinakwenda tu.
 
Haa haaa haaa! Maybe TV yake analazimika kuRefresh page ndo apate latest!
Kuna uwezekano kuna delay kwa watu, lakini dakika hii ya 85 sitarajii muujiza wa Greece kutoa droo, hata wakipata droo ndo vibonde wa kundi hili nadhani...

Wamenusurikanusurika sasa hv
 
Back
Top Bottom