World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

SA wanaweza kupita kwa draw zote 3,ila raundi ya pili nje,watabebwa ila wawe wanaingia washabiki wake wasikate tamaa,mana wakitolewa tu xenophobia itaanza hapo soweto soccer city,ila nawatabiria spain mwaka huu,wana wachezaji wazuri na kocha mwenye uzoefu na rekodi nzuri.
 
Carlos Tevez leo atakuwa Man of the Match, natabiri ataisumbua sana Ngome ya Nigeria lakini Higuain ndiye atakayefumania Nyavu

Tevez mbona mchovu, mie namuogopa sana Milto akishirikiana vizuri na messi. Hata hivyo najeria itatoa gemu nzuri ambayo watu hawakutegemea.

Odemwigie lazima aue mtu.
 
ntapataje wimbo huo wa go go Afrika?
ntapataje ule wimbo aloimba ufunguzi "Fetti" kama sijakosea

brazili this time nje,bila Gaucho
 
DSTV/ MULTICHOICE TANZANIA WEZI.......WAMEFUNGA ACCOUNT YANGU NIMELIPA 10 JULY 2010 NIMEWAFATA WANANIAMBIA ATI OH TULIONGEZA BEI HAPO MWANZONI YA JUNE SASA OH PESA ULIZOLIPA HAZITOSHI KAMA NI HIVO BASI TUPUNGUZE IMALIZE END OF JUNE BADALA YA JULY !!!! THIS IS DAY LIGHT ROBBERY ..WIZI WANA TAKE ADVANTAGE YA WORLD CUP KUTUIBIA.....NA NASEMA WAZI HUUU NI WIZI MKUBWA......THIS IS NOT A BUSINESS TUNAIKUMBUKA GTV.......HAWANA HAYA HAWA ......TUIGOMEEEEEEE JAMANI TENA HAPA BONGO ..NDIO WANATUIBIA KABISAAA....SOUTH UNALIPA USD 75 UNAONA CHANNELES 285 .....HAPA UNALIPA 115 NA UNAPATA ONLY 50 CHANNELS...NI WEZI.....WEZI......UKIMYA WETU WABONGO WATU WANA TAKE ADVATAGE...TUIGOMEEE WAPATE SENSE ...YAANI SIKU HIZI HATA UKIWATAFUTA KWA SIMU HAWAPOKEI....THEY COLLECT MORE THAN USD 5,000,000 / KWA MWEZI TANZANIA PEKEE YAKE LAKINI WANASHINDWA KUWEKA CUSTOMER SERVICE INAYOENDANA NA HADHI YA FEDAH WATEJA WAO WANAZOLIPA...UNAWEZA KU SPEND MORE THAN 3 HRS KATIKA OFFICE ZAO....UTAONA WASICHANA WANAZUNGUKA HUKU NA KULE ..LUGHA ZAO SIO NZURI PIA...
KUNA WAKATI NIMELIPA MARA MBILI WAKAWA HAWANA CHENGI NIKAAMBIWA WATAZI CREDIT KATIKA ACCOUNT YANGU LAKINI HAWAKUFANYA..NA SASA WAMEKATA ATI WAMEONGEZA BEI SASA ULIZOLIPA HAZITOSHI...usd 210 ???? hazitoshi kwa miezi miwili ???? risiti yao inaonesha wazi ni miezi miwili ..how about my credit amount ambayo ipo katika account yangu???? jirekebisheni au...tutawashataki na kwa utapeli
 
Gouvou and Goucouff are rubbish. Kama Wenger ndio anataka kumuuza Fabregas kumchukua huyu bweg.e Goucouff, chup* zitawabana. Ngojea.
 
Kazi ipo,jana bafana wameniudhi,kuachia goli.hawa wapopo nao mmh
 
Live from Nelson Mandela Bay Stadium, Port Elizabeth - RSA

Lee J. Soo scored Korea's 1st goal 6th min
 
yani mtanange umeshaanza?! du,thanx kwa update! mechi ya badae ndo naisubiri kwa hamu!
 
Yeah mtanange umeanza lakini najua hii watu walikuwa hawaitilii maanani kiviiile; wanasahau kuwa mshindi wa hapa ni wa kuangalia sana maana ni kundi moja
 
Greece wanaonekana kuelemewa kipindi hiki cha kwanza, wanajitutumua lakini wapi...
 
Duh... Dakika ya 27 wamekosakosa goli Korea, Park kamgongesha kipa tu
 
Invisible Nigeria ni marehemu watarajiwa hapa..Sioni kibonde.
 
Dakika ya 35, bado Korea wanaongoza kwa goli 1 lililofungwa dakika ya 6.

Korea 1 - Greece 0
 
Nigeria inabidi ijikamue kwelikweli kupenya kwenye hili kundi..si kundi la masikhara ukilinganisha na kiwango chao.
Ninavyowaona hawa Korea, Nigeria wana kibarua kizito. Greece pia hatataka kuondoka patupu, anatafuta kibonde wake
 
Back
Top Bottom