World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

]Kila mechi na topiki yake[/B] ,kwa mnaotumia webu ,mnatizamia wapi ??? VVV/Urgent mechi zimeanza kupungua na sijaona isipokuwa kwenye maandishi tu

not necessary
nyumbani
unamaanisha nini??
 
Watu wana offline mentality utafikiri wako katika printing press.

Kila mechi na thread yake.
 
Hehehe Domenech ameshajichokea lol...!!

lol labda kwa vile malouda aliponda kiwango cha timu kwenye media lol.manake alisema kiwango chao kiko chini na wanahitaji ku-improve.kocha kaona kama dongo kwake wakati jamaa kaongea ukweli na inawahusu wachezaji pia.
 
wale waliokuwa wana mtetea huyu kocha wa ufaransa wako wapi? leo sasa mteteeni tena kwa kumueka bench malouda kumuanzisha Diaby.

kuhusu huyu kocha simuelewi huwa anafikiria nini,lakini viwango vya wachezaji wake group hili wataongoza na kama kawaida wata-improve as they go.......
 
nachukia hawa uruguay wanashindana ku-dive uwanja mzima

i have sissies in futbol
 
Link hii hapa sina uchoyo kama wengine walivyo ,yaani hata hapa mnaleta uhaini ?? Duh wabongo noma ile mbaya !! Haya kafaidikeni na hii link pengine ikaconvert hapa hapa na tukaona kwa pamoja
Watch Live Football | Online Streaming | World Cup 2010 For Free

mkuu sidhani kama kuna mtu anakufanyia uchoyo ,wengi wanaangalia kwenye tv kwani karibia channel zote mpaka za local zinaonesha labda kama mtu yuko kazini.


hizo website nilizokutajia huwa zinanisaidia sana wakati wa premier league kama game haipo kwenye tv.


take it easy mkuu.
 
France wana safari ndefu sana kwenye mashindano haya na mwisho wao unaweza kuwa second round .
 
Hii mechi France wanastahili kushinda at least kwa goli mbili, lakini naona kuna ubinafsi sana hasa katika safu ya mashambulizi.
 
Wabeba vyuma France wanalazwa , akuna mjadala juu ya hilo ,nimeshawapima na kuwaona wanatumia nguvu kubwa sana ,na namna wanavyokwenda mbio ndipo wanazidi kuwavuta Urugway katika anga zao kwani hawa Urugway ni watu wenye kucheza mechi za fujofujo na maspeed mingi.
 
Hili kundi naona timu zote zimechoka lol...!! Ufaransa kwa vipaji walivyonavyo na wanavyocheza mzozo mtupu.
 
Kila mechi na topiki yake ,kwa mnaotumia webu ,mnatizamia wapi ??? VVV/Urgent mechi zimeanza kupungua na sijaona isipokuwa kwenye maandishi tu


Kama MODS hawaoni ubaya wa kila mechi kuwa na thread yake, sielewi tatizo liko wapi kama wanaona ni tatizo basi wataunganisha hii na ile iliyotangulia.
 
Match imekwisha kwa suluhu ya bila kufungana. FRA wamechemsha. Kwa mwendo huu itabidi wafanye kazi kubwa match inayofuata
 
Back
Top Bottom