World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

watokeo mazuri south africa wamepata point moja yao kwa kuwa wenyeji wa mashindano na mexico wamepta point moja kwa kuonesha kiwango zaidi ya south africa.

tusubiri France vs Uruguay.

Tunataka tuwaona France wazee wa 'rede'. Ripoti zinasema wachezaji kadhaa wana bifu na Gourcouf..mhh.
 
Bora s.a wametoa sare na jamaa wamebadilika watafika mbali
 
Tshabalala.jpg

Tshabalala
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!
pencil.png
 
Ufaransa hawana kitu, s.a mteremko hadi raundi ya pili.
 
Wadau tukiacha utani, masikhara na kijiba cha roho pembeni, goli la sauzi ni tamu kulitizama ati.
 
naona mmeamua kuwakosea heshima FRANCE,pamoja na "ubovu" wao mnaouona wakifungwa na SA naomba MODS WANIPIGE BAN YA MWEZI MZIMA HAPA JF............
 
naona mmeamua kuwakosea heshima FRANCE,pamoja na "ubovu" wao mnaouona wakifungwa na SA naomba MODS WANIPIGE BAN YA MWEZI MZIMA HAPA JF............

Hata mimi siamini kwamba France watafungwa kirahisi rahisi. Kwa upande wa Bafa bafana bado hakijaeleweka!
 
Binti Mrembo huyu wa kiarabu Shakira ametabiri ati finali itakuwa baina ya Argentina vs Azzuri. Kama mpira ungekuwa unachezwa mdomoni, kila kombe lingekuwa linaenda England na Italy tu.
 
Back
Top Bottom