Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Hakuna Afrika hapo. Nchi 6 zinazokutikana barani Afrika na failure yao haimuhusu kila Mwafrika.Leo niwazi africa bado tunakazi sna katiki huu mchezo wa mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Afrika hapo. Nchi 6 zinazokutikana barani Afrika na failure yao haimuhusu kila Mwafrika.Leo niwazi africa bado tunakazi sna katiki huu mchezo wa mpira
watokeo mazuri south africa wamepata point moja yao kwa kuwa wenyeji wa mashindano na mexico wamepta point moja kwa kuonesha kiwango zaidi ya south africa.
tusubiri France vs Uruguay.
Tunataka tuwaona France wazee wa 'rede'. Ripoti zinasema wachezaji kadhaa wana bifu na Gourcouf..mhh.
France wana wachezaji wenye viwango ila ndio hivo narenare nyingi na kocha asiye na mbinu.bora wasinge-qualify but wana nafasi,hili kundi liko wazi
Inategemea ita-turn-up France gani siku hiyo, maana France haitabiriki, inaeza kuwachapa 5-0 hawa wasauzi na inaeza kufungwa vilevile.RSA wataifunga france
Inategemea ita-turn-up France gani siku hiyo, maana France haitabiriki, inaeza kuwachapa 5-0 hawa wasauzi na inaeza kufungwa vilevile.
naona mmeamua kuwakosea heshima FRANCE,pamoja na "ubovu" wao mnaouona wakifungwa na SA naomba MODS WANIPIGE BAN YA MWEZI MZIMA HAPA JF............
Wadau tukiacha utani, masikhara na kijiba cha roho pembeni, goli la sauzi ni tamu kulitizama ati.
Ngosha ndio umeamka nini?he he he..Heri umesema wewe Mpemba
Ngosha ndio umeamka nini?he he he..