Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
RSA wana kipa mzuri sana wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Presha za Mexico zilinifanya niisahau hata JF kwa muda...........hahaaaaaaaaaa.....
Forlan anawachapa France leo aisee
nimeielewa vizuri sana mkuu ufafanuzi lakini bado sheria ina utata na itafanyiwa kazi.nashukuru mungu imetokea na ndio itaweza kujadiliwa manake miaka yote hio sijawahi kuona kitu kama hiki ni vizuri dunia imeiona.
kumbuka kipa kaenda kucheza mpira sio kwamba katoka bila sababu kama ni hivyo wa mruhusu huyo mchezaji kudaka kama anageuka kuwa keeper.
E bana e , sasa kila gemu inafunguliwa thread au inakuweje?
Kaazi kwelikweli. Hi sheria sio kwamba imeanza leo, imekuwepo kwa muda sasa. Tatizo ni kwamba mashabiki hamjishugulishi kuzifahamu sheria vizuri. Kwenye TV za wenzetu watangazaji walisema mara moja kuwa mwamuzi yupo sahihi na akatoa maelezo kwanini. Hii inaonesha kuwa wanazifahamu sheria za mchezo.
Sipati picha kama hii inatokea kwenye mechi ya Simba na Yanga halafu mashabiki wenyewe ndio kama akina wenger, Patakuwa hapatoshi ha ha ha!!!
Heheh sasa huyo mchezaji akidaka penati itatolewa au haitotolewa? Hii sheria ina kautata kidogo ndio zile sheria zinajifiaga zenyewe baada ya mashindano.
Kipa ndo anahesabika mchezaji wa mwisho. kwa hiyo ukiwa mbele ya kipa hata kama wachezaji wako 10 basi umeotea
mkuu watu tunaeleweshana na sijasema kwamba sheria haikuwepo kabla lakini tuna ruhusiwa kuhoji sheria kwani imetungwa na binadamu kama sisi tu.Kaazi kwelikweli. Hi sheria sio kwamba imeanza leo, imekuwepo kwa muda sasa. Tatizo ni kwamba mashabiki hamjishugulishi kuzifahamu sheria vizuri. Kwenye TV za wenzetu watangazaji walisema mara moja kuwa mwamuzi yupo sahihi na akatoa maelezo kwanini. Hii inaonesha kuwa wanazifahamu sheria za mchezo.
Sipati picha kama hii inatokea kwenye mechi ya Simba na Yanga halafu mashabiki wenyewe ndio kama akina wenger, Patakuwa hapatoshi ha ha ha!!!
hapa ndio ilipotuchanganya manake akilini tulikuwa tumeshazoea wachezaji wa ndani tu ukiwa nao sawa ukiwatoa makipa,leo tumejifunza manake tukio kama hili ni mara chache sana kutokea.he is level with the second last opponent
wandugu........tutafungua THREAD NGAPI kama kila game mnafungu thread???nauliza tu.......naomba tufungue one thread....LIVE WC GAMES...
pole sana mkuu,mie naangalia kwenye tv lakini jaribu hii website atdhe.net,iraqgoals.net.Kila mechi na topiki yake ,kwa mnaotumia webu ,mnatizamia wapi ??? VVV/Urgent mechi zimeanza kupungua na sijaona isipokuwa kwenye maandishi tu