Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Mexico wanataka kujifanya wanatandaza samba wakati hawana penetration ya maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confidence ya Sauzi sasa imepanda...Vuvuzela utadhani nzii ****** uswahilini wakati wa jua la vichwani...Kudadeki jamani!
kweli yani vuvuzela zinaanza kunikera - Kama inzi au yule mbu aliyepita kwenye chandarua anakusumbua usiku kucha!
Ila nilicheza na Bafana Bafana baada ya goliiiiiiii!
Hata mimi ningependa washinde ila mhhh, sina hakika. Ndo maana bado nipo nipo tu!!sheria hio mkuu itafanyiwa kazi labda kama yule mchezaji anakuwa keeper anaruhusiwa kudaka kama haruhusiwi inamaanisha yuko in-active ambayo inapingana na sheria zingine za kwenye soka.wanasheria wataifanyia kazi.
i hope sasa south africa will take the 3 points nataka wasonge second stage sana japo kuwa kiwango chao kimeshuka sema nyumbani ni nyumbani na mcheza kwao utuzwa.
Hivi lile goli walilokataliwa Mexico wangekataliwa South Africa uwanjani pangekalika pale?
US Massive, ESPN wanasema ABC wanaonyesha England vs USA, kuna mtu anafuatilia?

jaribu atdhe.net ,iraqgoals.net wote hawa watakuwa wanaonesha.webu gani inarusha hizi streamz za wadi kapu,,,,!
Dondoo ,jamaa wapo mpirani huko mitaani si hasha ukakuta vibaka wanatajirika kiurahisi,yaani unarudi mpirani unakuta wamesafisha nyumba ,usizani uongo dunia hii watu wapo shapu kabisa yaani hapo sausi si hasha wengine ata awajui kama kuna mpira ata wakijua wao na kazi zao .
Mehiko are just not cutting at the moment. Ingekuwa timu nyingine wangebugizwa mabao ya kutosha hadi usawa huu.Mkuu wakati mwingine kuwa na bahati nako ni muhimu hata katika michezo. Mnaweza kushambuliwaa kipindi kirefu lakini bado mkaibuka na ushindi.