World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Miafrika bana, sasa hapo Alberto Pereira si anawaibia tu hela wasauzi? Timu hovyohovyo kama Taifa Stars.

Kwakuwa ni host na ndo wamefungua refa ameambiwa awape goli moja tu la diplomasia kama tulilopewa wabongo na Brazil
 
What a moment!....WOW!
 
Bafana wametunyanyua, Gooooooaal

Naona kipindi cha pili wanajirekebisha.Ila itabidi wafunge lingine ili kuondoa any doubt na kufunika lile goli la Mexico lililokataliwa.
 
goalllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
 
Mexico wanajuta sasa kupoteza zile nafasi!!!

Jamaa anandikisha historia hapo kisha bao kali kweli!
 
Confidence ya Sauzi sasa imepanda...Vuvuzela utadhani nzii ****** uswahilini wakati wa jua la vichwani...Kudadeki jamani!


Mkuu umeona, keeper ndo anawasaidia vinginevyo SA wangeshalala siku nyingi!
 
kweli yani vuvuzela zinaanza kunikera - Kama inzi au yule mbu aliyepita kwenye chandarua anakusumbua usiku kucha!

Ila nilicheza na Bafana Bafana baada ya goliiiiiiii!
 
Hata mimi nimejifunza kwani nilidhani Mex wamenyimwa goli
sheria hio mkuu itafanyiwa kazi labda kama yule mchezaji anakuwa keeper anaruhusiwa kudaka kama haruhusiwi inamaanisha yuko in-active ambayo inapingana na sheria zingine za kwenye soka.wanasheria wataifanyia kazi.


i hope sasa south africa will take the 3 points nataka wasonge second stage sana japo kuwa kiwango chao kimeshuka sema nyumbani ni nyumbani na mcheza kwao utuzwa.
 
Hivi lile goli walilokataliwa Mexico wangekataliwa South Africa uwanjani pangekalika pale?

US Massive, ESPN wanasema ABC wanaonyesha England vs USA, kuna mtu anafuatilia?
 
Back
Top Bottom