Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
nimejifunza lakini bado nataka ufafanuzi zaidi no way.FIFA wanahitaji kufafanua zaidi kwa dunia nzima.
Hata mimi nimejifunza kwani nilidhani Mex wamenyimwa goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimejifunza lakini bado nataka ufafanuzi zaidi no way.FIFA wanahitaji kufafanua zaidi kwa dunia nzima.
mapema sana bado mkuu tatizo lako unajipa presha sana lol.LAL &*&^^%%$$$ zao.
Miafrika bana, sasa hapo Alberto Pereira si anawaibia tu hela wasauzi? Timu hovyohovyo kama Taifa Stars.
goli safi sana i hope litachangamsha mpira sasa.
Mkuu, i see you bro!
Confidence ya Sauzi sasa imepanda...Vuvuzela utadhani nzii ****** uswahilini wakati wa jua la vichwani...Kudadeki jamani!
Hapo nakubali kabisa na kama weye nasubiri last whistle.Hii kitu bado mapema sanaMkuu umeona, keeper ndo anawasaidia vinginevyo SA wangeshalala siku nyingi!
sheria hio mkuu itafanyiwa kazi labda kama yule mchezaji anakuwa keeper anaruhusiwa kudaka kama haruhusiwi inamaanisha yuko in-active ambayo inapingana na sheria zingine za kwenye soka.wanasheria wataifanyia kazi.Hata mimi nimejifunza kwani nilidhani Mex wamenyimwa goli