Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.
Mama Brian naona TV yako ina-delay sana hahahahaKorea wameongeza goli la 2
dont underestimate S.KOREA mkuu............
South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.
Hawa mabwana wana ujasiri wa mchwa aisee.
Physical fitness yao najua kiboko kweli maana kuna umilitary flani in most aspects
of their lives based on their issue with North Korea.Nimekubali so far.
Wagiriki wanaweza kupata droo wakijitahidi
Mkuu, dakika ya 80 hii wapete bao mbili? Never on earth!Wagiriki wanaweza kupata droo wakijitahidi
Haa haaa haaa! Maybe TV yake analazimika kuRefresh page ndo apate latest!Mama Brian naona TV yako ina-delay sana hahahaha
Kwani umesahau yaliyotokea juzi juzi Angola Vs Mali kwenye CAN?Mkuu, dakika ya 80 hii wapete bao mbili? Never on earth!
Kuna uwezekano kuna delay kwa watu, lakini dakika hii ya 85 sitarajii muujiza wa Greece kutoa droo, hata wakipata droo ndo vibonde wa kundi hili nadhani...Haa haaa haaa! Maybe TV yake analazimika kuRefresh page ndo apate latest!
Mkuu timu ya kufanya miujiza inaonekana, sio Greece hawa hahaha... Stars wakijipanga vizuri wanawalaza tu :twitch:Kwani umesahau yaliyotokea juzi juzi Angola Vs Mali kwenye CAN?
Itawezekana tu, lakini tumwombe Maximo arudi :lie:tanamani Tz tungekuwa tunacheza kama S. Korea