Itawezekana tu, lakini tumwombe Maximo arudi :lie:
Kiongozi, nilikuwa naona wanajitahidi kutuma cross kule mbele ambazo huezi jua matokeo yake, lakini naona hata hilo nalo limekuwa gumu kwao.Mkuu, dakika ya 80 hii wapete bao mbili? Never on earth!
Teh teh, au ni kaushamba kangu ka kuchart kwenye JF!Mama Brian naona TV yako ina-delay sana hahahaha
Tell me kuwa YOU ARE JOKING otherwise yoo are not serious...eti Stars wakijipanga wanaweza kuwa funga Greece.......Stars ya kwetu.....eti tukafunga moja dhidi ya matano tulipocheza na brazil, tunajidai.....tumevunja mwiko......Mkuu timu ya kufanya miujiza inaonekana, sio Greece hawa hahaha... Stars wakijipanga vizuri wanawalaza tu :twitch:
BTW: Where's Zidane nowadays mkuu?3-0 to maestro Diego Armando Maradona.
Yule Mberber nadhani aliji-attach na Real Madrid kwene timu chipukizi, sina hakika.BTW: Where's Zidane nowadays mkuu?
Team zinaanza kujiweka sawa, nabashiri Nigeria kupata droo!
:frusty:
Natamani timu za Afrika zifike mbali lakini ukweli mbele ya Argentina Nigeria, anaweza kulowa sana!Twende kazi wakuu. Akifungwa mnaija naenda kulala mapemaaa!!!...:A S-omg: